Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi?

Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu "niwasaidie" vijana wawili walionifuata na kuniomba msaada kwani uchumi umeyumba kwetu sote!

Kila mtu na "siri" yake!
 
Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi,marejesho yanapaswa kuwa vipi?Changamoto zake ni zipi?Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri!!Matatizo ya kutarajia ni yapi?Aina nzuri za bodaboda ni zipi?Mkataba unakuwaje?Kimsingi sijawahifanya biashara hii,ninataka tu "niwasaidie" vijana wawili walionifuata na kuniomba msaada kwani uchumi umeyumba kwetu sote!Kila mtu na "siri" yake!
Currently nina mikataba ya aina hii na watu kadhaa. Bodaboda nilizonazo ni boxer. Hesabu kila siku ni Tshs. 10,000/- kwa mwaka mzima (siku 365, sawa na Tshs 3,650,000/-, boda hiyo niliinunua Tshs. 2,600,000/-). Sasa toka hapo mtakubaliana kwamba mpeane hesabu kila baada ya wiki (70,000), au kila baada ya siku 10 (100,000/-). Usiweke siku zaidi ya 10 maana na wao kutunza fedha ni changamoto.

Ila mnasainishana serikali ya mtaa. Binafsi huko serikali ya mtaa, nalipa 20,000/- kila mkataba ninaoingia na mtu.

NB. Ukitaka sample ya mkataba wa bodaboda njoo inbox, nitakupa ukiwa kwenye word format.
 
Mimi naona Biashara ya mkataba ni kichaa

Biashara pasua kichwa hiyo ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷13=84615...

Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 84615 kama sio utahaira ni nini? Na hapo ukiigawanya kwa siku ni kama unaingiza 2800.

Sasa kwa mtaji milioni 3 kasoro sio sahihi kuingiza 3000 kwa siku. Huku mama muuza mihogo anaingiza zaidi ya hiyo kwa mtaji chini ya elfu 30.

Na hapo hapo mwisho wa mwaka piki piki inakuwa sio yako.. mtaji wote umekwisha

NB: Hapo bado haujapewa taarifa ya kuibiwa pikipiki, service ikiwa kubwa ni juu ya boss
 
Currently nina mikataba ya aina hii na watu kadhaa. Bodaboda nilizonazo ni boxer. Hesabu kila siku ni Tshs. 10,000/- kwa mwaka mzima (siku 365, sawa na Tshs 3,650,000/-, boda hiyo niliinunua Tshs. 2,600,000/-). Sasa toka hapo mtakubaliana kwamba mpeane hesabu kila baada ya wiki (70,000), au kila baada ya siku 10 (100,000/-). Usiweke siku zaidi ya 10 maana na wao kutunza fedha ni changamoto.

Ila mnasainishana serikali ya mtaa. Binafsi huko serikali ya mtaa, nalipa 20,000/- kila mkataba ninaoingia na mtu.

NB. Ukitaka sample ya mkataba wa bodaboda njoo inbox, nitakupa ukiwa kwenye word format.
Nakushukuru sana,ushauri nimeuchukua!Sasa kuhusu muda!Mkataba unatakiwa uwe na umri gani?
 
Bora mkataba kila siku ndio ukichaa zaidi..mie ninazo za mkataba na za kila siku ,kila siku anakudanganya daily kuwa kakamatwa na polisi wa tigo,mara mnyororo umekatika,mara break yote hayo asikupe hesabu au utengeneze wewe boss

Naona ni Biashara pasua kichwa ya mkataba. ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷13=84615...

Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 84615 kama sio utahaira ni nini? Na hapo ukiigawanya kwa siku ni kama unaingiza 2800.

Sasa kwa mtaji milioni 3 kasoro sio sahihi kuingiza 3000 kwa siku. Huku mama muuza mihogo anaingiza zaidi ya hiyo kwa mtaji chini ya elfu 30.

Na mwisho wa siku pikipiki inakuwa sio yako tena

NB: Hapo bado haujapewa taarifa ya kuibiwa pikipiki, service ikiwa kubwa ni juu ya boss
 
Currently nina mikataba ya aina hii na watu kadhaa. Bodaboda nilizonazo ni boxer. Hesabu kila siku ni Tshs. 10,000/- kwa mwaka mzima (siku 365, sawa na Tshs 3,650,000/-, boda hiyo niliinunua Tshs. 2,600,000/-). Sasa toka hapo mtakubaliana kwamba mpeane hesabu kila baada ya wiki (70,000), au kila baada ya siku 10 (100,000/-). Usiweke siku zaidi ya 10 maana na wao kutunza fedha ni changamoto.

Ila mnasainishana serikali ya mtaa. Binafsi huko serikali ya mtaa, nalipa 20,000/- kila mkataba ninaoingia na mtu.

NB. Ukitaka sample ya mkataba wa bodaboda njoo inbox, nitakupa ukiwa kwenye word format.
Naungana na wewe kwa maelezo haya na ndio mm hufanya hivi ,
 
Naona ni Biashara pasua kichwa ya mkataba. ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷13=84615...
Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 84615 kama sio utahaira ni nini? Na mwisho wa siku pikipiki inakuwa sio yako tena

NB: Hapo bado haujapewa taarifa ya kuibiwa pikipiki, service ikiwa kubwa ni juu ya boss
Unaeza ukawa sahihi ,ila sie wamjini hizi piki piki ni maokoto ya mtoto asisumbue ,na michepuko ikiomba vocha ,kwa mangi madeni yasiwe mengi
 
Umesema unataka kumsaidia au kufanya biashara?
Piga ua lazima nikwambie ukweli hii ni biashara kichaaa iwe ni mkataba au sio. Kwa mahesabu yote tangu unanunua mpaka na kibali na marejesho yake kwa siku faida itakua ni elfu tatu nyie mnaita afu tatu.. Sasa ni nini hiki
 
Back
Top Bottom