Nashukuru sana!Hesabu ya wiki inaweza kuwaje kwa mfano!Na draft yq mkataba inaweza kuwaje?Mimi ni mgeni kabisaUkimpa mkataba na hesabu ya wiki, mengine yote ni juu ya dereva, asipoleta hesabu wiki mbili au tatu hana chake unachukua boda boda yako
Thread closed.Kama dereva mzuri hesabu utaiona ila kama madodo janja ,utalaumu
Chukua Boxer 125 au TVS
Nimekupa kile nachojua kdg ,ashante
Aaante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi!Boxer 125 inaweza kuwa shilingi ngapi?Au hata hiyo TVS ni shilingi ngapi?Kama dereva mzuri hesabu utaiona ila kama madodo janja ,utalaumu
Chukua Boxer 125 au TVS
Nimekupa kile nachojua kdg ,ashante
Kwa siku 10 × 7 = 70,000 × 12 = ? Utakachopata ,Mkataba tafuta sampo kisha ongeza au punguza unachotakaNashukuru sana!Hesabu ya wiki inaweza kuwaje kwa mfano!Na draft yq mkataba inaweza kuwaje?Mimi ni mgeni kabisa
Currently nina mikataba ya aina hii na watu kadhaa. Bodaboda nilizonazo ni boxer. Hesabu kila siku ni Tshs. 10,000/- kwa mwaka mzima (siku 365, sawa na Tshs 3,650,000/-, boda hiyo niliinunua Tshs. 2,600,000/-). Sasa toka hapo mtakubaliana kwamba mpeane hesabu kila baada ya wiki (70,000), au kila baada ya siku 10 (100,000/-). Usiweke siku zaidi ya 10 maana na wao kutunza fedha ni changamoto.Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi,marejesho yanapaswa kuwa vipi?Changamoto zake ni zipi?Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri!!Matatizo ya kutarajia ni yapi?Aina nzuri za bodaboda ni zipi?Mkataba unakuwaje?Kimsingi sijawahifanya biashara hii,ninataka tu "niwasaidie" vijana wawili walionifuata na kuniomba msaada kwani uchumi umeyumba kwetu sote!Kila mtu na "siri" yake!
Ndugu nakushukuru sana!Umenipa darasa la kutosha!Nitafanyia kazi ushauri wako!!Kwa siku 10 × 7 = 70,000 × 12 = ? Utakachopata ,Mkataba tafuta sampo kisha ongeza au punguza unachotaka
NB : Dereva awe muelewa ,
Mkuu naomba ufike pale kariakoo utakuta kila aina ya piki piki ,Mo Boxer ,TVS , andaa 2.8MAaante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi!Boxer 125 inaweza kuwa shilingi ngapi?Au hata hiyo TVS ni shilingi ngapi?
Bora mkataba kila siku ndio ukichaa zaidi..mie ninazo za mkataba na za kila siku ,kila siku anakudanganya daily kuwa kakamatwa na polisi wa tigo,mara mnyororo umekatika,mara break yote hayo asikupe hesabu au utengeneze wewe bossMimi naona Biashara ya mkataba ni kichaa
Nakushukuru sana,ushauri nimeuchukua!Sasa kuhusu muda!Mkataba unatakiwa uwe na umri gani?Currently nina mikataba ya aina hii na watu kadhaa. Bodaboda nilizonazo ni boxer. Hesabu kila siku ni Tshs. 10,000/- kwa mwaka mzima (siku 365, sawa na Tshs 3,650,000/-, boda hiyo niliinunua Tshs. 2,600,000/-). Sasa toka hapo mtakubaliana kwamba mpeane hesabu kila baada ya wiki (70,000), au kila baada ya siku 10 (100,000/-). Usiweke siku zaidi ya 10 maana na wao kutunza fedha ni changamoto.
Ila mnasainishana serikali ya mtaa. Binafsi huko serikali ya mtaa, nalipa 20,000/- kila mkataba ninaoingia na mtu.
NB. Ukitaka sample ya mkataba wa bodaboda njoo inbox, nitakupa ukiwa kwenye word format.
Bora mkataba kila siku ndio ukichaa zaidi..mie ninazo za mkataba na za kila siku ,kila siku anakudanganya daily kuwa kakamatwa na polisi wa tigo,mara mnyororo umekatika,mara break yote hayo asikupe hesabu au utengeneze wewe boss
Naungana na wewe kwa maelezo haya na ndio mm hufanya hivi ,Currently nina mikataba ya aina hii na watu kadhaa. Bodaboda nilizonazo ni boxer. Hesabu kila siku ni Tshs. 10,000/- kwa mwaka mzima (siku 365, sawa na Tshs 3,650,000/-, boda hiyo niliinunua Tshs. 2,600,000/-). Sasa toka hapo mtakubaliana kwamba mpeane hesabu kila baada ya wiki (70,000), au kila baada ya siku 10 (100,000/-). Usiweke siku zaidi ya 10 maana na wao kutunza fedha ni changamoto.
Ila mnasainishana serikali ya mtaa. Binafsi huko serikali ya mtaa, nalipa 20,000/- kila mkataba ninaoingia na mtu.
NB. Ukitaka sample ya mkataba wa bodaboda njoo inbox, nitakupa ukiwa kwenye word format.
Mkataba mara nyingi ni mwaka mmojaNakushukuru sana,ushauri nimeuchukua!Sasa kuhusu muda!Mkataba unatakiwa uwe na umri gani?
Unaeza ukawa sahihi ,ila sie wamjini hizi piki piki ni maokoto ya mtoto asisumbue ,na michepuko ikiomba vocha ,kwa mangi madeni yasiwe mengiNaona ni Biashara pasua kichwa ya mkataba. ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷13=84615...
Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 84615 kama sio utahaira ni nini? Na mwisho wa siku pikipiki inakuwa sio yako tena
NB: Hapo bado haujapewa taarifa ya kuibiwa pikipiki, service ikiwa kubwa ni juu ya boss
Sawa sawaGharama ni kununuwa chombo na kukatia vibali, kinachofuata ni mkataba.
Service kila kitu ni juu yake.