Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

Naomba sample ya mkataba pls

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
nani amekuambia nyumba haina risk?

Likipita tetemeko?kama je ulijenga kimakosa mradi wa serkali unapita na hawalipi fidia?ikiwaka moto na huna bima?

Shoti ya umeme
 
nani amekuambia nyumba haina risk?

Likipita tetemeko?kama je ulijenga kimakosa mradi wa serkali unapita na hawalipi fidia?ikiwaka moto na huna bima?

Kuungua Gesi
 
Mkataba wa bajaji wenyewe unakuaje wakuu kama boda boda ni mwaka bajaji je?
 
Bajaji inaweza kuwa na nafuu kidogo kuliko boda hasa kama utapata dogo anaejua kutunza chombo na kutafuta maokoto. Ila ukiifanya wewe mwenyewe ndio inakuwa bingo zaidi.
 
Kwa pikipiki mpya boxer 150 mkataba ni miezi 16 kila siku lazima atoe 10000

Kwa pikipiki kama kinglion mpya mkataba ni miezi 14 kila siku lazima atoe 10000


Gharama za service na matengenezo ni juu yake.

Mara nyingi nimeona mkataba wa asipotoa hiyo hela kwa mfululizo wa siku 15, basi una haki ya kuchukua chombo chako
 
Bajaji inaweza kuwa na nafuu kidogo kuliko boda hasa kama utapata dogo anaejua kutunza chombo na kutafuta maokoto. Ila ukiifanya wewe mwenyewe ndio inakuwa bingo zbajaji nayo Ina

Bajaji inaweza kuwa na nafuu kidogo kuliko boda hasa kama utapata dogo anaejua kutunza chombo na kutafuta maokoto. Ila ukiifanya wewe mwenyewe ndio inakuwa bingo zaidi.
Vip kwa upande wa muda yaani ikifika miezi mingapi namuachia bajaji au hilli la muda limekaaje kwa upande wa bajaji
 
Daaah! umechanganua vema.
 
Daaah! umechanganua vema.
 
Kwa uzoefu wangu hii ni biashara kichaa.
1. Inamnufaisha zaidi dereva. Dereva anapiga hesabu ya pesa yake halafu ndio anaanza kutafuta ya boss
2. Haikui maana baada ya mwaka pikipiki sio yako tena
3. Haina security. Pikipiki ikiibiwa biashara imekufa maana kumdai bodaboda ni wazi hatoweza kukulipa na wala hana mali yoyote ya kukamata dhamana.
Kama utaendesha mwenyewe sawa ila kumpa bodaboda utakula hasara tu. Pesa ya kununua boxer ni bora utafute chimbo ambalo magari yanapita pita ufungue carwash
 
Hili jambo nilikua nawaza saana, ila sasa mbona kila leo Biashara inazidi kushika Kazi.
 
Binafsi hii biashara ya boda mwaka 2016- 2019 nilikua nazo 10 kati ya hzo 6 zilimaliza salama 4 zikaibwa kiufup ni biashara kichaa umasikini jiran yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…