Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Ni shida[emoji23] Achukue notes hapa
Bila kusahau, muhindi asije muona anatumia simu mahali pa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shida[emoji23] Achukue notes hapa
Bila kusahau, muhindi asije muona anatumia simu mahali pa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
desa la kutosha. wahindi wa bombay atakuita ukamfungulie mlango wa choo. waliokulia mbele wameadopt tabia za wazunguBy uwepo wako kuonekana wanamaanisha;
1) Hakuna kuumwa.
2) Malipo ya overtime ni kulazimishana na kutafutana.
3) Muda wote uonekane kuna kitu unafanya.
4) Huna kitu cha kufanya? Njoo unifanyie masaji au jifiche.
5) Unatarajiwa ufanye kila kazi atakayoitaka.
6) Hamna likizo ili uwepo wako uonekane vizuri.
7) Kesho off yako ila inabidi uingie kazini kama hutaki kazi basi. Hawasemi nakufukuza wanasema kazi basi
8) Umerundika off nyingi? Kwahiyo unahitajika kulipwa over time? Ngoja nijadiliane na meneja wako.
9) Muda wa kuingia ni saa moja asubuhi. Kutoka ni majaliwa.
Niliwahi fanya kazi resta moja hivi wale jamaa walikua ni kwikwi resta ikawa inawashinda wakauza kwa mhindi mwenzao. Huyu wa sasa alikua poa zaidi, ukifika muda wa kuondoka anahimiza watu muondoke.
Ukibaki over time yako on time.
One day akakuta nimesinzia (jana yake kulikua na party so waiters tulikesha) sehemu akaniuliza kama niko sawa kwa kuhofia kuonekana mzembe nikasema naumwa. Akaniambia nirudi nyumbani, nikahisi ndiyo nimefukuzwa nikawa naranda randa mule mule.
Akaniona tena akaniuliza kwanini sijaondoka wakati naumwa? Nikamjibu nahisi kizunguzungu jamaa akanikodia taxi hadi home. Na kesho yake napigiwa simu na meneja wa waswahili ananiuliza naendeleaje (kwa maelekezo ya bosi)
Yaani ghafla nikawa nimeexperience wahindi wawili kwa mara moja turns out mhindi mpya na mkewe hawakukulia na kuishi India, wamekulia Uk huko. Ila wale wa kwanza ni wakazi wabobevu wa Bombay.
Aise hizi notes za mdau nimechukua bila pingamizi kabisa. Ila mhindi wangu aliniambia kuingia ni saa mbili asubuhi na kutoka ni saa kumi na mbili jioni. Alinitajia kazi zote za kufanya na kuniambia hata Mimi nisipokuwepo utasimamia hata yangu. Ila alisema siku kama hakuna kazi unaweza kuondoka. Note: kazi ni ya kihasibu.[emoji23] Achukue notes hapa
Bila kusahau, muhindi asije muona anatumia simu mahali pa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba nichangie kwa experience ya miaka 2 niliyofanya kazi kwa mhindi.Aise hizi notes za mdau nimechukua bila pingamizi kabisa. Ila mhindi wangu aliniambia kuingia ni saa mbili asubuhi na kutoka ni saa kumi na mbili jioni. Alinitajia kazi zote za kufanya na kuniambia hata Mimi nisipokuwepo utasimamia hata yangu. Ila alisema siku kama hakuna kazi unaweza kuondoka. Note: kazi ni ya kihasibu.
Waswahili wezetu ndo hatari Zaid Kwa kukupa kazi ambazo hazipo kwenye mkatambaout of experience mydia ukilegea kidogo mhindi haoni shida kukutumikisha hata zisizo kazi zako
Dah ndiyo maana mbongo kwa mhindi si mtu yaani akipata upenyo anampiga mamilioni analala mbele.naomba nichangie kwa experience ya miaka 2 niliyofanya kazi kwa mhindi.
mimi nina taaluma yangu nzuri sema bongo michongo inazingua so nkajiunga na hawa wahindi kwenye sekta muhimu tu kwa taifa . aiseee ntaelezea tu changamoto nazokutana nazo kazini mimi na wafanyakazi wenzangu halafu uchanganye na akili zako .
1)...Sijawahi kulipwa mshahara kwa wakati hata siku 1.( mshahara unaingia after 2 or 3 weeks ya due date ya salary yako. inatesa.)
2...hakuna bonus,rotation ,roster or mapumziko rasmi yoyote- ( mpka ukaze wewe kuwa ni lazima uipate ndo utapewa na apo umeikana nafsi kufukuzw njenje)
3...Hawamuamini mtu mweusi yyte zaidi ya mhindi mwenzao ndo mana wanawekana wao kwa wao.( fieldwork mkienda wenyew weusi mtafanya kwa shida hela zikiwaishia ila akiwepo mhindi hela fasta)
4...TARAJIA KUFANYA KAZI AMBAZO ZIKO NJE YA DUTIES AND RESPONSIBILITIES ZAKO.- mfano wewe umeajiriwa kama HR ila wakiona huna kazi ofisini wanakuambia kasaidia kupanga mafile storage au kusaidia fundi kwenye garage ya kampuni.(HII NI KWELI KBSA)
nakumbuka wakat najiunga na kampuni sijui hilo wala lile ,mhindi aliwahi kunituma supermarket nkanunue vyakula nimpelekee mkewe home.(just imagine)
5.Mkataba ukiisha ku-new huwa ni shida sana
6....Unaweza ukatumwa kazi kama 15 ambazo hata kuzifanya wiki 1 huwezi ila atakuambia jioni anataka mrejesho.( hapa naamini wanafidia hela wanazokulipa)
7...Wana ubaguzi kupindukia. mfano pale kazini niligundua kwa siri kuwa wale wahindi wengine ma-operators hawana elimu yyte anaendesha excavator ndogo au mashine yyte ila ana mshahara kuliko mimi wa degree ..just imagine
8.Kuambiwa kazi basi ni muda wowote ( hakuna job security ) utasikiaa"" john you every day late coming job side why? company side paying you ,you late coming .ok go home job finish na hapo umechelewa 10 mins mfululizo ofisini ( meneja wetu huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787])
usijidanganye eti wakivunja mkataba utalipwa pesa kibao - wanahonga sana vyombo hivihivi vya nchi unapewa pesa kiduchu case closed.
9.UKIUUMWA KWA MUDA MREFU AU HUKUTOKEA KAZINI 2 DAYS OR ZAIDI WANAKATA MSHAHARA .
10..wanapenda magendo sana ,wanakwepa kodi, hawana vibali na kama wanavyo vikiisha hawarenew,wanatoa rushwa sana, wanaamini INDIANS ni far more humans than AFRICANS.
Ni mengi ila kwa uchache , UkIONA MTU ANAFANYA KAZI KWA MUHINDI BASI UJUE ITS JUST FOR SURVIVAL HANA ALTENATIVE CHOICE.
Tulikuwa tupo fieldwork mwanza nimerudi dar mara moja kumcheki wife afya yake -walinipa siku 7 nirudi job.....Nimemaliza hizo siku nimeripoti kwa Meneja kupitia simu atume Hela nigeuke chapu mpka sasa ni siku 23 sijatumiwa hela yyte na siwez kutumia hela yangu mana sitorudishiwa.
Ndo hvyo ndugu zangu- wahindi wanazingua namwomba MUNGU nipate ajira sehemu ingine nisahau hizi shida.
KUNA MUDA NAONA ELIMU NILIYONAYO NI BULL SHIT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa waseng** sana hawa jamaa
Kwa muhindi kero ni sehemu ya mkataba wako wa kazi😂!Kazi ninayoenda kufanya ni hiyo ambayo naifanya kwa mswahili tofauti ni mshahara maana future employer anaweza kunilipa Mara mbili ya mswahili. Lakini sasa najaribu kuangalia maana naweza nikaacha current employment nikapata salary kubwa lakini kwenye mazingira ya kero zaidi.