Aise hizi notes za mdau nimechukua bila pingamizi kabisa. Ila mhindi wangu aliniambia kuingia ni saa mbili asubuhi na kutoka ni saa kumi na mbili jioni. Alinitajia kazi zote za kufanya na kuniambia hata Mimi nisipokuwepo utasimamia hata yangu. Ila alisema siku kama hakuna kazi unaweza kuondoka. Note: kazi ni ya kihasibu.
naomba nichangie kwa experience ya miaka 2 niliyofanya kazi kwa mhindi.
mimi nina taaluma yangu nzuri sema bongo michongo inazingua so nkajiunga na hawa wahindi kwenye sekta muhimu tu kwa taifa . aiseee ntaelezea tu changamoto nazokutana nazo kazini mimi na wafanyakazi wenzangu halafu uchanganye na akili zako .
1)...Sijawahi kulipwa mshahara kwa wakati hata siku 1.( mshahara unaingia after 2 or 3 weeks ya due date ya salary yako. inatesa.)
2...hakuna bonus,rotation ,roster or mapumziko rasmi yoyote- ( mpka ukaze wewe kuwa ni lazima uipate ndo utapewa na apo umeikana nafsi kufukuzw njenje)
3...Hawamuamini mtu mweusi yyte zaidi ya mhindi mwenzao ndo mana wanawekana wao kwa wao.( fieldwork mkienda wenyew weusi mtafanya kwa shida hela zikiwaishia ila akiwepo mhindi hela fasta)
4...TARAJIA KUFANYA KAZI AMBAZO ZIKO NJE YA DUTIES AND RESPONSIBILITIES ZAKO.- mfano wewe umeajiriwa kama HR ila wakiona huna kazi ofisini wanakuambia kasaidia kupanga mafile storage au kusaidia fundi kwenye garage ya kampuni.(HII NI KWELI KBSA)
nakumbuka wakat najiunga na kampuni sijui hilo wala lile ,mhindi aliwahi kunituma supermarket nkanunue vyakula nimpelekee mkewe home.(just imagine)
5.Mkataba ukiisha ku-new huwa ni shida sana
6....Unaweza ukatumwa kazi kama 15 ambazo hata kuzifanya wiki 1 huwezi ila atakuambia jioni anataka mrejesho.( hapa naamini wanafidia hela wanazokulipa)
7...Wana ubaguzi kupindukia. mfano pale kazini niligundua kwa siri kuwa wale wahindi wengine ma-operators hawana elimu yyte anaendesha excavator ndogo au mashine yyte ila ana mshahara kuliko mimi wa degree ..just imagine
8.Kuambiwa kazi basi ni muda wowote ( hakuna job security ) utasikiaa"" john you every day late coming job side why? company side paying you ,you late coming .ok go home job finish na hapo umechelewa 10 mins mfululizo ofisini ( meneja wetu huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787])
usijidanganye eti wakivunja mkataba utalipwa pesa kibao - wanahonga sana vyombo hivihivi vya nchi unapewa pesa kiduchu case closed.
9.UKIUUMWA KWA MUDA MREFU AU HUKUTOKEA KAZINI 2 DAYS OR ZAIDI WANAKATA MSHAHARA .
10..wanapenda magendo sana ,wanakwepa kodi, hawana vibali na kama wanavyo vikiisha hawarenew,wanatoa rushwa sana, wanaamini INDIANS ni far more humans than AFRICANS.
Ni mengi ila kwa uchache , UkIONA MTU ANAFANYA KAZI KWA MUHINDI BASI UJUE ITS JUST FOR SURVIVAL HANA ALTENATIVE CHOICE.
Tulikuwa tupo fieldwork mwanza nimerudi dar mara moja kumcheki wife afya yake -walinipa siku 7 nirudi job.....Nimemaliza hizo siku nimeripoti kwa Meneja kupitia simu atume Hela nigeuke chapu mpka sasa ni siku 23 sijatumiwa hela yyte na siwez kutumia hela yangu mana sitorudishiwa.
Ndo hvyo ndugu zangu- wahindi wanazingua namwomba MUNGU nipate ajira sehemu ingine nisahau hizi shida.
KUNA MUDA NAONA ELIMU NILIYONAYO NI BULL SHIT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa waseng** sana hawa jamaa