Fanya kama anavyotaka mke wa kaka, inabidi ujishushe kidogo, uendane nae na umsikilize uwe karibu nae (hapo mambo yataenda sawa, ukishaungana nae na kumsapot kwenye system ya maisha yake).
Ikiwa una malengo yako ya dhati na unataka kuyasimamia, inabidi uwe mvumilivu sana na kuyapa kisogo yote ambayo hauendani nayo (jifunze kuyapenda ili mradi ya kwako yanakuendea, jifunze kuupenda ugali pia)
Maisha yanachangamoto nyingi sana, na changamoto hazikimbiwi. Kila sehemu kwenye changamoto ujue kuna fursa ukituliza akili na kufungua macho yaka