Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani.
Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo itaonyesha passport namba ya hizi passport mpya?