Ndio! Hata mimi hapo umenikumbusha. Unatakiwa kuwa na KADI YA MANJANO ambayo inaonesha namba za HATI YA KUSAFIRIA 🛂 uliyonayo sasa hivi.Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo itaonyesha passport namba ya hizi passport mpya?
Kuna mtu kanijibu wala sio ishu. Haitiliwi maanani. Na kwa kua bado iko valid sina haja ya kuwa na kadi mpya. Yeye amesafiri kama wiki 2 kwenda ulaya. Na ana kadi ya zamani maana alichoma 2015Ndio! Hata mimi hapo umenikumbusha. Unatakiwa kuwa na KADI YA MANJANO ambayo inaonesha namba za HATI YA KUSAFIRIA 🛂 uliyonayo sasa hivi.
Kuna mtu kanijibu wala sio ishu. Haitiliwi maanani. Na kwa kua bado iko valid sina haja ya kuwa na kadi mpya. Yeye amesafiri kama wiki 2 kwenda ulaya. Na ana kadi ya zamani maana alichoma 2015
1.Je, unayo kadi ya Yellow Fever?Kama unayo, Je, Kwenye hiyo kadi yako kuna maelezo gani kuhusiana na uhai (lifespan) ya hiyo chanjo yako uliyochoma?Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani.
Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo itaonyesha passport namba ya hizi passport mpya?
Umesoma maelezo au unakurupuka?Nenda kachome kabla hujafurumushwa. Kule sio bongo ukalete maelezo mengi
Mkuu chanjo muhimu hizi. Mi hata ya HPV nataka nichomeYap kama iko valid unapeta nayo!! Na siku nyingine unakuwa mjanja mkuu haya machanjo sio ykuchoma unatafuta kadi hela kidogo mambo yanaenda poa
Kama nimekuelewa vizuri, ulichanja ukiwa na Passport X, badae ukapata passport Y:Umesoma maelezo au unakurupuka?
Kiazi.
Mimi nilichoma 2016 na inakaa miaka 10. Swali langu lilikua linajikita khs mabadiliko ya passport kama yanaendana na ulazima wa kupati kadi mpya.
Umetishaaaa mkubwa. Umeelewa vema kabisa. Na ahsante kwa maelezo muruaKama nimekuelewa vizuri, ulichanja ukiwa na Passport X, badae ukapata passport Y:
-Kama kadi bado unayo, huhitaji mpya.
-Kama kadi ulipoteza,bado records zako kwenye system zipo, unaweza kuomba kadi mpya. Hakika utatozwa kitu kidogo huhitaji chanjo
Got u my man!Mimi nilikua na Card pia Passport ya zamani, nikapata Passport mpya, kabla sijasafiri nikaenda pale Mnazi mmoja, nikijua Ntachanja tena ili nipewe Card mpya!
Walinambia Ukichanjwa mara moja ni kwa Maisha yako, nikawapa taarifa zangu, nikaripia 5,000 nikapewa Card mpya.
Muwe mnasoma na kuelewa.Hamna namna ukapata hyo kadi kimjini...haya manjanjo sio
1.Je, hiyo Passport ya zamani unayo?Umesoma maelezo au unakurupuka?
Kiazi.
Mimi nilichoma 2016 na inakaa miaka 10. Swali langu lilikua linajikita khs mabadiliko ya passport kama yanaendana na ulazima wa kupati kadi mpya.
Huu mfumo upo tu EAC ambapo wanaweza kuaccess data zako(kwa wenye Passport na hati nyingine za kusafilia). Sema tu ni yale yale. Wakiscan Passport yako,hata hawashindwi kuona kama umechanjwa au la. Sema tu wanapata pa kukupiga na waoUmetishaaaa mkubwa. Umeelewa vema kabisa. Na ahsante kwa maelezo murua
. Kuna mdau naye amenijibu hivyo pia. Maana Ulaya sio EA hakuna janjajanja ndo maana nkataka jua mapema
Karibu.Got u my man!
Ni muhimu sana! Kwa sababu sasa hivi taarifa zipo kielektroniki 🙏🏾Kuna mtu kanijibu wala sio ishu. Haitiliwi maanani. Na kwa kua bado iko valid sina haja ya kuwa na kadi mpya. Yeye amesafiri kama wiki 2 kwenda ulaya. Na ana kadi ya zamani maana alichoma 2015