Wenye uzoefu wanisadie nahisi kabisa sio mtu wa kawaida

Wenye uzoefu wanisadie nahisi kabisa sio mtu wa kawaida

GiftedMan94

Senior Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
114
Reaction score
348
Wakuu Naombeni Msaada.

Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka nikapiga simu kadhaa kwa vipengele vyangu nikaona navyo havieleweki vinanipangia muda wa kuvitafuta wakati hela yangu mwenyewe. Nikatoka zangu mpaka tiptop bar. Huwa napapenda tu kuna vibe flani la uswaziuswazi.

Nimeingia zangu nikakaa zangu peke yangu na nikaletewa serengeti zangu tatu na kuanza kuupa mwili pole kwa kukaa ndani siku nzima. Hii sehemu huwa kuna wale dada zangu wanaotafutwa na mstahiki meya ila sikuonesha ushirikiano nao wowote so nilikuwa tu peke yangu

Ghafla ikatokeo pisi moja inataka kufanana msomali hiyo rangi yake jamani. Ni mrembo haswa. Akaja moja kwa moja akaja nilipokaa. Kila njemba iliyokuwa hapo ilikuwa inamtolea macho. Nikajifanya kama hajanishtua. Kumbe aliniongelesha sikumsikia labda kwa sababu ya mziki au kuvimba kwangu. Ikabidi anishtue kwa mkono. It was such a gentle touch na kuniuliza " hapa kunaitwaje" na lafudhi flani nikajua huyu sio mbongo. Akaagiza redds zake mbili na akalipia.. kwa ufupi tulipata kufahamiana yeye ni mkenya ( mmombasa) yupo dar kikazi Tuliongea vitu vingi sana. Alilipa bili yote yangu na yake

Kinachonileta kwenu wakuu niliondoka naye mpaka hotel aliyofikia. Kusema ukweli huyu mpwani wa mombasa anaweza kukufanya ujione wewe ndio mwanaume peke yako dunia nzima wengine ni kenge tu. Nikaelewa kwa nini kivuko chetu kimepelekwa mombasa kufanyia matengezo ya 7 billion wakati kipya ni 8.5 billion. Hana pupa hata kidogo very calm and composed sijawahi ona. Ule ukweli hatukutumia condom.

Na asubuhi amenipa cha asubuhi kiroho safi. Na tumeenda dispensary kucheki afya zetu wote tupo fresh..Wakuu ninachoombea msaada ni kuwa nimeoga sijui mara ngapi ya harufu ya huyu mdada imenikaa hainitoki chumba changu chote nasikia harufu yake. I can't think of anything namuwaza muda wote. Sijawahi tokea na kitu kama hiki sio kawaida na wasiwasi si binadamu wa kawaida. Ni kama natembea naye muda wote. Naisense her presence kila sehemu.

Wakuu isije ikawa ni jini.. amenipa namba yake kwa masharti yeye ndio atanifuta sio mimi nimtafute... ubaya sina furaha kabisa ghafla yaani kuna vitu sivielewi tangia nimeachana naye hiyo asubuhi. Nikimfikiri ndio napata furaha sijui nielezeje wakuu mnielewe. Naona hii ni hatari naombeni msaada.
 
Nadhani nywegwe zikiisha utamfuta tu kichwani mwaka ila gono likianza kukufurukuta utamkumbuka ukiwa na hasira
 
Wakuu Naombeni Msaada.

Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke...
Ngono zembe tukushaurije subiri reaction after three day
 
Back
Top Bottom