GiftedMan94
Senior Member
- Dec 28, 2017
- 114
- 348
- Thread starter
- #21
Tusaidiane mkuuKama sio pombe basi ushapikwa ukapikika ukakwiva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidiane mkuuKama sio pombe basi ushapikwa ukapikika ukakwiva
vumilia hali hiyo ikiendelea mpaka next week utafute dawa, inaweza kuwa ni kumbukumbu tu za ufundi aliokuoneshaTusaidiane mkuu
Ila we jamaaKwahiyo umemgonga kavu kisha ukaenda kupima😂😂 Enewei usiache kuvuta bhangi mkuu.
😥😥😥😥Ila Watu jamani!
Siku hiyo hiyo tu mshabebana na kupakazana majasho,
[emoji1785]
Jifukize na moshi wa bhangi, kama ni jini utapata ishara ila kama sio itakua kama hakijatokea kitu.Ila we jamaa
Maya katoka kujiburudisha😅Atakua maya huyo
Mcheki Mother akupe ushauri maana anajua madhaifu yako yoteWakuu Naombeni Msaada.
Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke...
Usijitie wenge mkuuWakuu Naombeni Msaada.
Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke...
Huu ni ukweli kabisa mkuu.Niseme tuu. Ukiona mtu kakwaa ngoma, halafu wewe huna, shukuru tuu Mungu. Na uendelee kuomba usiipate. Usijikute mjanja sana. Kwamaana tulio wengi tunafanya sana ngono zembe.
Fikiria huyu mwamba, kakutana na pisi haijui haimjui. Kaenda kula kavu halafu asubuhi ndo anaenda kucheki Afya! Seriosly?!🤣🤣🤣 na niwengi tuu tunafanyaga hivi.
Mi nilishawahi kwenda kula pisi, nimejiandaa kabisa ndomu kila kitu. Tupo katikati ya game pisi ikaomba nitoe ndomu. Hata sikufikiria mara mbili. Nikarespond. Nimekuja kuachana na pisi ndo nawaza 'was that healthy' (In Ndugai's Voice)
Mungu aendelee kutunusuru tuu kwakweli😫