Umeona eee,..Kutekenyana hapa jukwaani hilo neno hilo!![emoji3] [emoji3] [emoji3] hata km miye sikubali
KhakhakhaaakhakhaaaaaaaaaaaaaaInategemea mnachatije shoo,wengine wanachati mpaka wanakaribia kukojozana halafu ww unacheka tuu eti kisa mmekutana humu,hapana kwakweli[emoji16][emoji16] labda kama hampendani ila kama mko real lazima muheshimiane japo kiduchu...
Usipaliwe tuu wifi'angu[emoji16][emoji16]Kho kho!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siwezi bana kukununia....nikionaga vitu sivielewi huku tunamalizanaga ukooooShogaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] usifanye hvyoo!tutakosa kupeana umbea! [emoji1] [emoji1] [emoji2]
Vumilieni tu
Cheka tuu mwaya,we wako haibiki huyo hata kwa dawa,. kuta mlizozijenga ni kama za yeriko,.[emoji16][emoji16]
Hapo sasa kingine mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze sasa anajua ana mbebz humu still analeta zile za kifilipino!!yeye ndo akae mbali na wadada au km vipi aweke mahusiano wazi km mahonda na smart[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeona eee,..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wifiii naanzaje kupaliwa na wewe upo wa kunipuliza..[emoji3][emoji3][emoji3] ila wifi mimi ninawivu ujueUsipaliwe tuu wifi'angu[emoji16][emoji16]
Hahhahaha ufilipino bongo,.. mahondaw nshamwambia yeye wake hawezi bebishwa maana hadi mods wanalitambua hilo,..shughuli iko kwa wenzangu na mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa kingine mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze sasa anajua ana mbebz humu still analeta zile za kifilipino!!yeye ndo akae mbali na wadada au km vipi aweke mahusiano wazi km mahonda na smart[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3] wii eti hadi kukojozana...nimecheka mweh!Inategemea mnachatije shoo,wengine wanachati mpaka wanakaribia kukojozana halafu ww unacheka tuu eti kisa mmekutana humu,hapana kwakweli[emoji16][emoji16] labda kama hampendani ila kama mko real lazima muheshimiane japo kiduchu...
Ngoja nimuite kwanza kwa herufi kubwaa VLADIMIR PUTIN naomba uje hapa tuwekane sawa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wifiii naanzaje kupaliwa na wewe upo wa kunipuliza..[emoji3][emoji3][emoji3] ila wifi mimi ninawivu ujue
Mwambie kaka ako ivooo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tunaofichwa fichwa sisi ndo tunaloo!Hahhahaha ufilipino bongo,.. mahondaw nshamwambia yeye wake hawezi bebishwa maana hadi mods wanalitambua hilo,..shughuli iko kwa wenzangu na mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana mabebez wanakuwa na wivuuuHeee!lengo ni nini sasa!!kuharibiana au?!!
Hihihihihihihi... Miye Nabadilisha vicheko tuHaya yote uloyaandika nimtu mwenyewe atake kuyafanya au asiyafanye.
Pasipokujalisha wamekutana humuhumu bado hakumfanyi aendelee kuishi kwa mazoea yale yale.
Najua huu ujumbe kusudio lako ulilenga wanawake, ila hata km niww bado usingechukulia poa unless mpo kusogeza siku so hamjafungwa na kitu.
By nature ,mwanamke nikiumbe mwenye wivu , na anayejihisi asiye na ulinzi muda wote , kwaiyo always atajitahidi kufanya yale yatakayompa aman na ulinzi juu ya mwenza wake .
Huwezi bebishana na mume/mpenzi wamtu alafu mwanamke wake akawa anajichekesha...kwa dunia hii hii???? .
Ivo basi ujuapo fulan na fulan niwanandoa/wapenz, nijukum lako kuhakikisha chat zenu hazilet mazingira magumu upande wapili.
Mi nadhan, Shida utakua nayo weee nasio mwenye mpenzi ,kwamaana wivu haujalisha aina ya mahusiano yaliyopo.
Napinga Hoja yako 100%...shemeji weeew shemej weeeeee....Aslay aliimba.
Hahaahhaha uwiiii umesahau kuna bebi wa public na privacy... Basi tunaishia kununiwa kimyakimya hahaahah wozaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] tunaofichwa fichwa sisi ndo tunaloo!
Ndo nnapokuchunia hapo ukimkoti bebi wangu haki tenaa