Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Umesahau kitu kimoja unakuta mtu unachat naye kawaida tu anatoka hapo anaenda pm kwa mbebez wako anasema anakukula loooh mtihani kwa kweli
 
Umesahau kitu kimoja unakuta mtu unachat naye kawaida tu anatoka hapo anaenda pm kwa mbebez wako anasema anakukula loooh mtihani kwa kweli
Heee!lengo ni nini sasa!!kuharibiana au?!!
 
Hapo sasa kingine mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze sasa anajua ana mbebz humu still analeta zile za kifilipino!!yeye ndo akae mbali na wadada au km vipi aweke mahusiano wazi km mahonda na smart[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahhahaha ufilipino bongo,.. mahondaw nshamwambia yeye wake hawezi bebishwa maana hadi mods wanalitambua hilo,..shughuli iko kwa wenzangu na mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahhahaha ufilipino bongo,.. mahondaw nshamwambia yeye wake hawezi bebishwa maana hadi mods wanalitambua hilo,..shughuli iko kwa wenzangu na mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tunaofichwa fichwa sisi ndo tunaloo!

Ndo nnapokuchunia hapo ukimkoti bebi wangu haki tenaa
 
Haya yote uloyaandika nimtu mwenyewe atake kuyafanya au asiyafanye.

Pasipokujalisha wamekutana humuhumu bado hakumfanyi aendelee kuishi kwa mazoea yale yale.

Najua huu ujumbe kusudio lako ulilenga wanawake, ila hata km niww bado usingechukulia poa unless mpo kusogeza siku so hamjafungwa na kitu.

By nature ,mwanamke nikiumbe mwenye wivu , na anayejihisi asiye na ulinzi muda wote , kwaiyo always atajitahidi kufanya yale yatakayompa aman na ulinzi juu ya mwenza wake .

Huwezi bebishana na mume/mpenzi wamtu alafu mwanamke wake akawa anajichekesha...kwa dunia hii hii???? .

Ivo basi ujuapo fulan na fulan niwanandoa/wapenz, nijukum lako kuhakikisha chat zenu hazilet mazingira magumu upande wapili.

Mi nadhan, Shida utakua nayo weee nasio mwenye mpenzi ,kwamaana wivu haujalisha aina ya mahusiano yaliyopo.

Napinga Hoja yako 100%...shemeji weeew shemej weeeeee....Aslay aliimba.
Hihihihihihihi... Miye Nabadilisha vicheko tu

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom