Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.

nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.

nitamvunja taya.
Tulia we dogo... mi nakagua tu afu nakuachia upambane na hali yako.
 
Amani iwe nanyi wapendwa!

Wake kwa waume mlio jf,iwe MMU au jukwaa lingine lolote humu ndani wapenzi,wachumba na wake zao au mahusiano yoyote yanayopelekea hisia za ndani ya mwanadamu,tafadhilini punguzeni wivu[emoji108] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwa wenza wenu!

Kumbuka ulimpata jf sasa tafadhali vumilia tu anapochat na wanajf wenziwe kwa kua hawa kwa sasa ni kama mashemeji,mawifi,wakwe au majirani.

Wengine mnaendelea mbali zaidi mpk mkiona wapenzi wenu wanataniana na members basi mnakasirika na kuwachunia hao memba kimtindo;mfano akikukoti haumkomti,akikumention unambechua(unampotezea),hulike wala kudislike thread chochote!

Wengine wale wasio na uvumilivu tena wakiona wenza wao kama ni wanaume wana mazoea na member humu basi ugomvi hauishi wanakufata mpk PM kukushambulia zaidi.
Sasa wanandugu wivu wa nini wakati umemkuta hapa,mkatongozana hapa(PM),mkakubaliana mkafanya yenu!iweje uumie akichat na watu wa hapa sasa!

Sasa kila mwenye mpenzi akisema asichat tena si jf itapotea au amsha amsha itapungua![emoji13] [emoji13] [emoji13]

Wenye wapenzi wenu tafadhalini hebu mjiamini bwanaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57]ukiona wa kwako anakula wengi humu basi jua huyo kicheche wa asili mpotezee na ukiona analiwa na wengi basi ni kahaba tu hata kitaa huko hivyo hvyo!

NB;Mupambane na hali zenu tu hakuna namnaa [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]!

Mi nimekuelewa lakini natoa onyo kwa yeyote atakayekuwa anamLIKE, anamMENTION au kumPM mke wangu Sky Eclat bila ridhaa yangu...

Nimeshachukua tunguli kwa Mshana Jr

Msije mkasema sijawaonya.
 
Back
Top Bottom