DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
AnakukasirikiaKumbebaje hapo shem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnakukasirikiaKumbebaje hapo shem
Ukimnunia mwanamke mwenzio ni ujinga tena wa kiwango cha juu huo mda mm sinaga nadili na anayenihusu tuMnunooi
Utamkasirikiaje mwanamke mwenzio ujinga wa mwanaume wako anakubali mpaka kubebishanaAnakukasirikia
Huyu dogo tangu nisome PM anazomtumia bibi yenu... anajihami balaa!
Tulia we dogo... mi nakagua tu afu nakuachia upambane na hali yako.kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.
Amani iwe nanyi wapendwa!
Wake kwa waume mlio jf,iwe MMU au jukwaa lingine lolote humu ndani wapenzi,wachumba na wake zao au mahusiano yoyote yanayopelekea hisia za ndani ya mwanadamu,tafadhilini punguzeni wivu[emoji108] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwa wenza wenu!
Kumbuka ulimpata jf sasa tafadhali vumilia tu anapochat na wanajf wenziwe kwa kua hawa kwa sasa ni kama mashemeji,mawifi,wakwe au majirani.
Wengine mnaendelea mbali zaidi mpk mkiona wapenzi wenu wanataniana na members basi mnakasirika na kuwachunia hao memba kimtindo;mfano akikukoti haumkomti,akikumention unambechua(unampotezea),hulike wala kudislike thread chochote!
Wengine wale wasio na uvumilivu tena wakiona wenza wao kama ni wanaume wana mazoea na member humu basi ugomvi hauishi wanakufata mpk PM kukushambulia zaidi.
Sasa wanandugu wivu wa nini wakati umemkuta hapa,mkatongozana hapa(PM),mkakubaliana mkafanya yenu!iweje uumie akichat na watu wa hapa sasa!
Sasa kila mwenye mpenzi akisema asichat tena si jf itapotea au amsha amsha itapungua![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wenye wapenzi wenu tafadhalini hebu mjiamini bwanaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57]ukiona wa kwako anakula wengi humu basi jua huyo kicheche wa asili mpotezee na ukiona analiwa na wengi basi ni kahaba tu hata kitaa huko hivyo hvyo!
NB;Mupambane na hali zenu tu hakuna namnaa [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]!
Tena nakuonea masikini bila sababu kwani huyo mbebez alishikwa mkono kubebishwa mwana kuyataka mwana kuyapataUmeona eeeh!!!deal na wako Mimi wanionea
Ngoja mtu anjijaribu uone...Roga km kazi rahisi
Mwana mwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nitoke zangu jf tutaonana huko kwenye ulimwengu wa kijani nataka kujiandaa niangalie mpiraMwana...mwana...!!!!
Saa tatu na nusu mama anguMpira saa ngapi shunie?!
Woyoooooo ndio mana tunapendana alipo ronaldo popote nipo nyuma yakeOkay miye team cr7 wewe je?