Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Shtuka ww utaibiwa umu hamna mwanamke ata mmoja 🤣
Ata wakiwemo ni wale sura ya baba hawafai kwa namna yoyote si kwa ndoa wala kugegeda hawafaiiiiiiiiiiii kabisaaaaa 🤣
Unaniwasha data kimtindo hapa. Kuna mmoja anaitwa. Midekoo yeye anashinda kwenye uzi wa warembo wakali wodi waidi, Huwa najiuliza 'hili sio dume kweli hili'
 
Shida ya humu ukishaanza kujuana au kuchat tu na baadhi PM baadae unashindwa kuopen up sana jukwaani maana utakua unaogopa nikiandika hv flan nliechat nae atahis nam-target.....watu wangekufundisha jambo
Mkuu usizoee zoee Pm
Sawa kiongozi ngoja nimkazie but mmoja
Mim ni mshenga wako tayar
 
Back
Top Bottom