amejisahau uyo ni ME amelog in kwa ID yake ya KE 🤣Unashangaa kwani wewe siyo demu wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amejisahau uyo ni ME amelog in kwa ID yake ya KE 🤣Unashangaa kwani wewe siyo demu wewe!
🤣🤣🤣🤣👏👏🤣🤣🤣🤣Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
😂😂Inatakiwa akujue hata huko pm kuwa kuna mda ukichaa unakupanda
Hayanaga muongozo...
wewe wasema mkuuHayanaga muongozo...
Nje ya mada: Wewe ni wa wapi? Kiswahi kinakutatiza kiaina.Mulio na mademu
Nenda kwanza kasafishe nyota Kisha urudi saa6 usiku humu sawa kijanaTupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Hakuna cha ajabu, usiogope kukataliwa.😆😆😆 sio ushauri mbaya ila vuta picha dem anakukataa hapa hapa hadharani mbona ni bonge la noma.
Anatakiwa akuelewe jinsi ulivyo bwashee😂😂
Mangi watu wanatofautiana ohooo!
I don't trust in love brother!Hapana kaka, kwani wewe hutaki uwe unalitagi shemu lako mnapiga stori! mbona itapendeza
Unaweza kuandika simulizi kama yeye? Kama sio Sitaki.Yule mwanetu mtunga story ulishatemana nae... Nataka nijiweke
Sema Mangi unaforce nitende dhambi, ngoja tuone kijana atapewa abc zipiAnatakiwa akuelewe jinsi ulivyo bwashee
Ooh please 🤣Mulio ni kitu gan?
Mukawapata?
Munajua ?
Ni wachache sana wenye ID moja, anaweza kutumia ID mbadala awe free kumwaga apendavyo.Utakuwa unatoa maoni Yako Kwa kumhofia huyo mpenzi mliyepatana humu.Maana atakuwa anaijua ID yako ya jamii forum.
Anakuone unamaanisha mimi ni mzigo mzito!😂😂Unanionea kabisa
Mkuu hapa umeniacha njia panda....watu wangekufundisha jambo
Na songesha😃😃Upweke mbaya snaa, we fikiria toka asbh hakuna sms ya lavidavi, zimejaa sms za oyaa, mkuu.