Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaji eleze vizuri, Kuna kitu ana weza kushauri.Sawa sawa Rais wangu .... Nimekuelewaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaji eleze vizuri, Kuna kitu ana weza kushauri.Sawa sawa Rais wangu .... Nimekuelewaa
Noted mh. RaisKaji eleze vizuri, Kuna kitu ana weza kushauri.
UnanifurahishaPesa ni kitu cha kupita tu kikubwa ni mapenzi ya dhati kutoka moyoni
Sasa ntamsaidiaje😂😂Swali la uonezi kabisa hilo, id name imemaliza Kila kitu😂🏃🏿
Utani tu sijui kama huwa wanawapima hivyo.Hivi tunavyo comment kumbe ndio tunapimwa kupitia comment zetu?
Wengi inapaswa walijue hili mwenyekitiHuu ni uongoo bhana, humu wote sio matajiri hata ma jobless pro max tumo.
Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy
Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
View attachment 3231007
Naam, kidumu chama Cha ma jobless pro maxWengi inapaswa walijue hili mwenyekiti
Aisee ili aishie kupostiwa na mishumaa 😂😂Jichanganye 🐒
Nilijuwa tu! Na vile unaweka pisi zina wesere na mtindi wa kutosha, nikaona mh hili ni dume hiliJichanganye 🐒
Dude lisilo liwa 🐒Nilijuwa tu! Na vile unaweka pisi zina wesere na mtindi wa kutosha, nikaona mh hili ni dume hili
Kuna nini huko mjiniMpaji Mungu tumwambie au ata jionea😂😃
Binafsi siungi mkono usajili wa kijana maskini, huyu yeye alishaona ni maskini sioni akibadilikaNdugu yangu Kijana masikini kwanza una kazi, kama unayo sawa kama huna jua kuwa kuwa na demu wakati ukiwa jobless ni mtihani mkubwa asilimia za kufaulu mtihani huo ni ndogo mno 3/100 kwa kuwa utanyanyaswa, utavunjika moyo ila usijali waswahili wanasema kwenye giza totoro mwanga wa matumaini utjitokeza,
napenda kukukaribisha kwenye chama cha majobless pro max kikiongozwa na Mh Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman na makamu wake Bolotoba katibu wa chama ni min -me
waziri wq mambo ya ndani ni Thecoder msajili wa chama ni dosho12 wakili ni Selikavu mratibu wa chama Edo kissy
Na bila kumsahau semaji la chama makutupora
Kama ukifanikiwa kupata demu hichi kipindi cha valentine sisi tutakuelekeza ni sehemu gani kuna maua mazuri ya kuchuma bure kwa ajili ya zawadi ya maua na ni zawadi gani inapaswa kutoa ili wote mridhiki pasipo kuumia moyo mmoja wenu
Kidumu chama cha majobless pro max
Utatupatia shida nini😅😅😅Binafsi siungi mkono usajili wa kijana maskini, huyu yeye alishaona ni maskini sioni akibadilika
Kwanza abadilishe ID imekaa kinyonge mno 😁😁😁Binafsi siungi mkono usajili wa kijana maskini, huyu yeye alishaona ni maskini sioni akibadilika
Jobless ni hawana kazi huyu yeye inawezekana ana kazi ila ni maskini hivyo nakanusha usajili huu , ila kura za wanachama zikiamua awe nitaunga mkono.Utatupatia shida nini😅😅😅
I'd yake inaukakasi mkubwa😁Kwanza abadilishe ID imekaa kinyonge mno 😁😁😁