The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Sijui ni dhiki ama ni tabia. Mabinti wengi wa kitanzania wanawaza pesa za mwanaume tu. Utasikia mwanaume lazima uwe na hela, maanaume asie na hela simtaki, sijui vitu gani.
Mabinti wengi wa kitanzania wanajifunza tabia za kikahaba toka wakiwa wadogo, wanawaza pesa za mwanaume tu. Ni kweli mwanaume lazima awe au ajitahidi kupata hela ila zile hela zitamfaidisha mwanaume kwa sababu ni zake. Pesa za mwanaume hazitamsaidia kitu msichana.
Tuanze kuwafunza mabinti zetu kujitegemea, kutafta pesa zao. Wakiwa na pesa zao watajiamulia cha kufanya, wasitegemee uchi maana mabinti wengi akili yao iko wenye uchi wao sio kwenye akili zao.
Leo hii huwezi kuchukua binti wa kitanzania kwa mtoko mgawane bili au kila mtu ajilipie alichokula ama kunywa, ni wachache sana. Wengi wanaamini mtoko na gharama zake zote ni juu ya mwanaume yeye kazi yake ni kutoa uchi tu.
Binti akiwa na mawazo tegemezi ya kutegemea akili atapata pesa zake na ata-dictate terms za mahusiano, kwa mwanaume anaemtaka yeye. Lakini akitegemea uchi atapigwa rungu na mwanaume yoyote yule mwenye pesa.
Hivi mnajua kwa nini mabinti wengi wanalawitiwa au kufanya mapenzi kinyume na maumbile siku hizi? Sababu ni moja tu mwanaume akiwa na pesa na mwnaamke anamtegemea kwa kila kitu anakua hana ubavu wa kumkatalia mwanaume akitaka kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile, anaogopa atapoteza mdhamini hivyo anakua tayari kumpa mdhamini chochote anachokitaka. Sasa binti akiwa na pesa zake hawezi kulazimishwa jambo asilolitaka kwa sababu ya kuhofia kumpoteza mdhamini na hata mwanaume humuheshimu sana mwanamke mwenye pesa zake na wengi huwaogopa. Hata akiongea nae anaongea kwa heshima flani.
Tuwafundishe mabinti zetu kujitegemea kiakili na sio kutegemea uchi. Akiwa na akili atatoa uchi pale anapohitaji na anapojisikia mwenyewe akiwa na nyege zake na sio kutoa uchi kila akiwa na shida, shida haziishi hivyo atatoa uchi maisha yake yote.
Pesa siku hizi imefanya thamani ya mwanamke imepotea na sababu ni moja tu, wanawake wengi hawataki kutumia akili wanatumia miili yao hivyo kupoteza hadhi na heshima yao. Wanaume wenye pesa huwafanya wanawake wanavyotaka. Nina jamaa zangu wafiraji wa wanawake wananiambia ukiwa na pesa hakuna mwanamke anakataa unachokitaka kutoka kwake. Ni maamuzi yako umlawiti au uingize ukeni. Hali ni mbaya sana. Tuwalinde mabinti zetu.