Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Mwanamke kaambiwa atazaa kwa uchungu...

Hajaambiwa atatafuta kwa uchungu...Means atakua anakupa hicho unachokitaja kwa dharau...

Mwanaume kaambiwa atatafuta kwa uchungu, means kutafuta kwake ni pamoja na kumuhudumia mwanamke...

Cc: mahondaw
 
Wanaume hawayataki haya, wanataka wote tule kwa jasho dadreki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papuch cjui iliwekwa nn Yan

Unamke ndan lakin ya nje n tamu
Kuliko ya ndan

stidy
 
Tatizo letu tunashindana na nature(asili).

Mwanamke ameandikiwa kupewa/kutunzwa na mwanaume, hilo halikwepeki.

Ndio maana hata mwanamke awe na pesa still mwanaume lazima uingie mfukoni.

Ndio maana ndani ya nyumba mume ukiwa na 500k na mkeo akawa na 800k basi ndani mwenu mna 500k.
Unforgetable
Hii ni nature ila kila kitu kina kiasi, its overwhelming kukutana na binti baada ya mtongozo tu anaanza; Bby simu yangu mbovu, luku imeisha, kodi inatakiwa, nywele chafu, pocket money!

Na sio kwamba mtu anaku please umtimizie hayo...ni ana force kana kwamba kama humtimizii anajinadi kabisa kuwa hawezi kuwa na mtu ambaye hamsaidii hayo! Kwa uroho wa papuchi unalipia vichache ili ule mzigo kisha unajikataa.
 
Mwanamke kaambiwa atazaa kwa uchungu...

Hajaambiwa atatafuta kwa uchungu...Means atakua anakupa hicho unachokitaja kwa dharau...

Mwanaume kaambiwa atatafuta kwa uchungu, means kutafuta kwake ni pamoja na kumuhudumia mwanamke...

Cc: mahondaw
Hizo hadith sasa hazina maana tena. Nyingi zimepitwa na wakati.

Hata hivyo hakuna mahala imeandikwa mwanamke asifanye kazi akae tu mwanaume alete yeye awe ni kutoa uchi tu na kuzaa.

Hilo moja, la pili sio kila mwanamke atakua na mwanaume permanent wa kumletea huku yeye anampa uchi. Je yeye ataishije? Agawe uchi kwa kila mwanaume anaempa hela?

Usiwafanye wanawake sex machines.
 
Tafuta pesa, hutakua na mawazo kama haya...

Cc: mahondaw
 
Wanaume hawayataki haya, wanataka wote tule kwa jasho dadreki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu sio wote kula kwa jasho, aliyekwambieni mwanaume anashindwa kumlisha na kumvisha mwanamke ni nani? Naamini mwanaume yeyote mwenye kipato anaweza kumhudumia mwanamke ampendaye regardless ya financial status yake.

Kinachozungumzwa hapa ni kwamba kwanini wanawake wengine wanatumia urembo wao na papuchi kama debit card? Yani lazma mwanaume atie pesa wao ndio wafunguke bila hivyo amna kinachoweza kuendelea. Papuchi inageuzwa kuwa mtaji matokeo yake wanakuwa hawana tofauti na wale wajipangao barabarani tu.

Mbona kuna wanawake wenzenu ambao ni financially independent na still wako kwenye mahusiano fairly bila kulazimisha mwanaume awe mtu wa kumpa hela tu throughout the relationship, instead mwanaume anatoa hela kama shukurani kwa upendo anaopatiwa. Hawa wa hivi wao wanatoka sayari tofauti na nyinyi ama?
 
its against nature for a woman not to depend on a man,For us women we have a duty to carry a child from pregnancy to maturity therefore we need a 'man' to provide 'resources' during all this period of rearing a child. Things might have changed if men were to carry a baby(pregnancy),,give birth and involved in rearing a child..it is called gender role... LOL
 
Hatuwafundishi kujitegemea ng'oo, na shule hatuwapeleki tena.
Maana wanaume hawajiamini wanaogopa wanawake wenye mafanikio, elimu wanataka la saba D. Hamjui kipi mnataka jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapokosea ni kuwapa maarifa yote hayo kitaaluma ila socially hamuwapi maarifa. Learn from Mama Samia Suluhu walau utapata picha ya jinsi watoto wenu mnatakiwa muwajaze hekima.

Mtoto wa kike ana kiji Masters anataka amuendeshe mume kama houseboy wake na ubishi na ujuaji wa kupindukia. Nani atakaa asogelee huyo binti yako maisha yako yote!!!

Atazeekea kwenu hapo ama akazalishwe jamaa amkimbie sababu hana hekima.
 
Tafuta pesa, hutakua na mawazo kma haya...

Cc: mahondaw
Tafta mume, usidanganyike kua wewe kazi yako ni kuzaa tu. Utazalishwa na utafirwa na kila mtu na utapigwa miti sana. Usifanye uchi wako ukawa barabara ya kila mtu kupita.

Wanawake mliokosa malezi na kufundishwa kutumia uchi wenu badala ya akili tutaendela kuwasaidia kuzaa kwa uchungu.
 
Back
Top Bottom