Wenyeji wa Dar msaada wenu

Wenyeji wa Dar msaada wenu

Tuelemishane kidogo hapo

Tuchukulie katoka simiyu na Hana ndugu dar es salaam hii, ama huko hakuna anaejua namna ya kufika Zanzibar kutoka simiyu zaidi ya kufika mpaka dsm kwanza.....

Ndo kafika mbezi labda mchana wa Leo .......

Ukizingatia ni member humu na anaona watu wanapost taarifa ama kuuliza kitu chochote wakihitaji kujua... Alikuwa na haki hiyo...

Pengine alikosea kama alitoka Jana angetakiwa aulize toka jana ili mpaka anafika dsm awe anajua atatoka point A kwenda B na ni shngp!

kama bado hajaanza safari ni fresh au kafikia guest kusubr kesho apate boat vizuri pia!

Mkuu mimi sio mpigaji ni kijana mtulivu sana aseeh 👊
Vijana wa Darisalama wote ni wahuni tu, awe mtulivu asiwe mtulivu.

.........Cha ajabu kuna wenzako watakuwa wameza inbox kwa mwamba wakijifanya wasamalia.
 
Vijana wa Darisalama wote ni wahuni tu, awe mtulivu asiwe mtulivu.

.........Cha ajabu kuna wenzako watakuwa wameza inbox kwa mwamba wakijifanya wasamalia.
Kaka Mimi sina baya maake nakuja dar.... Mpk naenda chuo sikufanyiwa ubaya kwani Mimi nimlipe mtu ubaya ?

Labda wengine kwangu hapana
 
Kaka Mimi sina baya maake nakuja dar.... Mpk naenda chuo sikufanyiwa ubaya kwani Mimi nimlipe mtu ubaya ?

Labda wengine kwangu hapana
Watu wa Dar hapana.

......Mtu anakupiga huku kashika bible mkononi, anaongea kama katoka chuo cha biblia leo, Wakazi wa Dar wote ni wahuni tu.
 
20240124_142909.jpg
 
Watu wa Dar hapana.

......Mtu anakupiga huku kashika bible mkononi, anaongea kama katoka chuo cha biblia leo, Wakazi wa Dar wote ni wahuni tu.
Mkuu ukiwa mwanangu uta enjoy sina uhuni mzee najua kwakuwa hatujuani Ila nipo normal sana...... wizi, utapel hapana
 
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.

NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
panda mwendokas ma kivukoni,shuka jiji,muulize MTU yyte bot za Azan atakuonesha
 
Ukishuka magufuli toka nje ya kituo.chukua boda mwambie akupeleke kimara mwisho kituo Cha mwendokasi..ikifika hapo ingia ndani ya daraja vuka ingia kituoni kata tiketi Kisha subiri magari yaloandikwa kivukoni.yatakapogeuzia mkishuka waombe watu wakuonyeshe ferry
Wewe sasa unamtisha, aingie ndani ya daraja! Hajawahi kuona daraja kubwa huyo, mwambie awaombe watu wambebe wamvushe barabara wampeleke kwenye mabasi ya rangi ya buluu ya kwenda Kivukoni.
 
Panda magari yanavyoenda posta kivukoni
Kuna bajaji zinaelekea huko
Ila kama una haraka na una Hela fanya elfu nane bodaboda Ili uwahi
Bodaboda simshaur kabisaa ni hatari Sana hapa mjini..

Apande tax, daladala, bajaji atafika TU kwa WAKATI..
 
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.

NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Poa
 
Back
Top Bottom