Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Vijana wa Darisalama wote ni wahuni tu, awe mtulivu asiwe mtulivu.Tuelemishane kidogo hapo
Tuchukulie katoka simiyu na Hana ndugu dar es salaam hii, ama huko hakuna anaejua namna ya kufika Zanzibar kutoka simiyu zaidi ya kufika mpaka dsm kwanza.....
Ndo kafika mbezi labda mchana wa Leo .......
Ukizingatia ni member humu na anaona watu wanapost taarifa ama kuuliza kitu chochote wakihitaji kujua... Alikuwa na haki hiyo...
Pengine alikosea kama alitoka Jana angetakiwa aulize toka jana ili mpaka anafika dsm awe anajua atatoka point A kwenda B na ni shngp!
kama bado hajaanza safari ni fresh au kafikia guest kusubr kesho apate boat vizuri pia!
Mkuu mimi sio mpigaji ni kijana mtulivu sana aseeh 👊
.........Cha ajabu kuna wenzako watakuwa wameza inbox kwa mwamba wakijifanya wasamalia.