Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
sawa ila awe anakubarika, angalau ameishi kitambo. jeuri hii itaisha kukiwa na haki ya wananchi kuchagua wamtakae. Nrne muhimuUnahubiri ukabila na ukanda ndugu mleta mada. Kila mtanzania ana haki ya kuishi na kugombea ubunge mahala popote kwenye Jimbo lolote.
Arusha inamilikiwa na Wachagga!. Wachagga ndio wenye biashara zote kubwa kubwa, mahoteli, guests na maduka!. Akigombea Mmasai na Mchagga, Mchagga ndie anachaguliwa!.Kweli bro Arusha yote Ina watu hawana uwezo??? Just how aisee. Yani tuweze kujenga miundombinu ya kupokea watalii vizuri tushindwe ubunge?? Duh
Msukuma Paul Makonda lazima awatawale hapo Arusha.Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo cha kisiasa tu.
Watanzania bado wanakumbuka jinsi mikoa ya Kaskazini ilivyohujumiwa na kudhalilishwa wakati wa awamu ya tano ya uongozi wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Hayati Rais John Magufuli. Mikoa hiyo, pamoja na kuonyesha mchango mkubwa wa kisiasa na kiuchumi, iliambiwa isubiri zamu ya mikoa mingine – hasa ya Kanda ya Ziwa – ambayo viongozi wake walionekana kupewa nafasi nyingi serikalini.
Leo hii, hali kama hiyo inataka kurudiwa kwa sura mpya. Mfano halisi ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda – ambaye anatoka nje ya mkoa huo – kuonyesha nia ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini. Hili linazua maswali mengi kwa wananchi wa Arusha: Je, ni kweli hakuna wenyeji wenye uwezo, maono na sifa za kuwa wabunge? Kwa nini tusione huu ni mwendelezo wa siasa za kulazimisha utawala kutoka nje ya mikoa ya Kaskazini?
Kama kweli CCM inasikia sauti ya wananchi, basi ni lazima izingatie hisia na historia ya watu wa mikoa ya Kaskazini. Tunahitaji viongozi wanaotufahamu, walioko karibu na changamoto zetu, na wanaoguswa na maisha ya kila siku ya wananchi wa maeneo haya.
Kwa muda mrefu, wananchi wa Arusha na mikoa jirani wamekuwa mstari wa mbele katika harakati za haki, uhuru na maendeleo. Haitakuwa busara kuwavunjia heshima kwa kuwaletea viongozi wa "kupachikwa" wasiogusa mizizi ya jamii hizi.
Tukumbuke Historia – Tujenge Mwelekeo Mpya
Ni muhimu tujifunze kutoka kwenye makosa ya awamu zilizopita. Tukumbuke namna mikoa ya Kanda ya Kaskazini ilivyotengwa na kusahaulika katika masuala ya kitaifa, licha ya mchango wake mkubwa. Sasa ni wakati wa wananchi kusema: inatosha! Tunataka viongozi wetu watoke miongoni mwetu, watu wanaojua shida zetu na wanaoweka maslahi ya wananchi mbele.
Mungu ibariki Arusha. Mungu ambariki Tundu Lissu – kiongozi aliyesimama kidete kutetea haki bila woga. Ni wakati wetu sasa, watu wa Kaskazini, kusema kwa sauti moja: "Uongozi wa majimbo yetu ni wetu!"
Atleast but sio msukuma. Ndo maana hutuoni tukipeleka vichwa Mwanza au GeitaArusha inamilikiwa na Wachagga!. Wachagga ndio wenye biashara zote kubwa kubwa, mahoteli, guests na maduka!. Akigombea Mmasai na Mchagga, Mchagga ndie anachaguliwa!.
P
Arusha haimilikiwi na kabila lolote ni sehemu ya Jamhuri.Arusha inamilikiwa na Wachagga!. Wachagga ndio wenye biashara zote kubwa kubwa, mahoteli, guests na maduka!. Akigombea Mmasai na Mchagga, Mchagga ndie anachaguliwa!.
P
Siyo kweli. Augustine Mrema (rip) aligombea na akawa mbunge wa TemekeIlala kwenyewe katika ya jiji hupewi kama sio mdau.
1. Mh. Kiwia (mchanga) alikuwa Mbunge wa Ilemela Mwanza 2010-2015Bro kiroho safi Sasa hivi naweza kwenda Sengerema nikagombea kisa tu nimekua mkuu wa wilaya kwa miezi 10? Au nikaenda Uyole nikagombea kisa tu nimekua DAS kwa mwaka mmoja? Hebu niambie kule usukumani ni mbunge yupi ambae sio msukuma? Hajui kisukuma na amegombea? Sio ukabila, watu wa mahali fulani wanakua na changamoto zao unique ambazo ni watu wa maeneo Yale tu ndo wanazielewa. Ndo maana hakuna mtanganyika anayependa kugombea Pemba nafasi ya ubunge wa Kimuungano. Why? Kwa sababu hajui matatizo ya wapemba ni nini na nini.
Hata marekani Wana kigezo Cha ukaazi wa Mahalia kwa miaka kadhaa Ili ugombee.
Mawaziri wanaotoka pwani,ulega,jafo,Hao hawakusoma?Achana na Dar kwa akili yako Kuna Mzaramo mwenye akili timamu ya kuwa mbunge nani acheze ngoma. Kuna jamii hapa bongo by default niwakutawliwa tu hasa huku pwani
Haimilikiwi kwa milki ya ownership inamilikiwa kwa kabila moja la jirani kutamalaki kuliko wenyeji.Arusha haimilikiwi na kabila lolote ni sehemu ya Jamhuri.
Kabila lililotamalaki Arusha, hadi Mwanza walifika, Kiwia akawa mbunge kule!.Atleast but sio msukuma. Ndo maana hutuoni tukipeleka vichwa Mwanza au Geita
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.Watu wakieleza ukweli mnasema ukabila!
ukabila unatokea wapi wakati ni ukweli.
Awamu ya 5 ya Msukuma mwenzio ambao ulikuwa nanukabila kwa kubagua mokoa ya Kaskazini mbona ukukemea?????
Ki idadi wachaga hawajawazidi wenyeji kwa idadi. Wenyeji ni wengi.Haimilikiwi kwa milki ya ownership inamilikiwa kwa kabila moja la jirani kutamalaki kuliko wenyeji.
P
Sifa za uongozi ni uraia, si ukabila.Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo cha kisiasa tu.
Watanzania bado wanakumbuka jinsi mikoa ya Kaskazini ilivyohujumiwa na kudhalilishwa wakati wa awamu ya tano ya uongozi wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Hayati Rais John Magufuli. Mikoa hiyo, pamoja na kuonyesha mchango mkubwa wa kisiasa na kiuchumi, iliambiwa isubiri zamu ya mikoa mingine – hasa ya Kanda ya Ziwa – ambayo viongozi wake walionekana kupewa nafasi nyingi serikalini.
Leo hii, hali kama hiyo inataka kurudiwa kwa sura mpya. Mfano halisi ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda – ambaye anatoka nje ya mkoa huo – kuonyesha nia ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini. Hili linazua maswali mengi kwa wananchi wa Arusha: Je, ni kweli hakuna wenyeji wenye uwezo, maono na sifa za kuwa wabunge? Kwa nini tusione huu ni mwendelezo wa siasa za kulazimisha utawala kutoka nje ya mikoa ya Kaskazini?
Kama kweli CCM inasikia sauti ya wananchi, basi ni lazima izingatie hisia na historia ya watu wa mikoa ya Kaskazini. Tunahitaji viongozi wanaotufahamu, walioko karibu na changamoto zetu, na wanaoguswa na maisha ya kila siku ya wananchi wa maeneo haya.
Kwa muda mrefu, wananchi wa Arusha na mikoa jirani wamekuwa mstari wa mbele katika harakati za haki, uhuru na maendeleo. Haitakuwa busara kuwavunjia heshima kwa kuwaletea viongozi wa "kupachikwa" wasiogusa mizizi ya jamii hizi.
Tukumbuke Historia – Tujenge Mwelekeo Mpya
Ni muhimu tujifunze kutoka kwenye makosa ya awamu zilizopita. Tukumbuke namna mikoa ya Kanda ya Kaskazini ilivyotengwa na kusahaulika katika masuala ya kitaifa, licha ya mchango wake mkubwa. Sasa ni wakati wa wananchi kusema: inatosha! Tunataka viongozi wetu watoke miongoni mwetu, watu wanaojua shida zetu na wanaoweka maslahi ya wananchi mbele.
Mungu ibariki Arusha. Mungu ambariki Tundu Lissu – kiongozi aliyesimama kidete kutetea haki bila woga. Ni wakati wetu sasa, watu wa Kaskazini, kusema kwa sauti moja: "Uongozi wa majimbo yetu ni wetu!"
Mfano mzuri jimbo la Temeke Mbunge wake ni. Kutoka KILIMANJARONaunga mkono hoja Arusha imekuwa ni sehemu ya kimataifa . Yoyote aweza kuwa Mbunge. Mletamada ajue Dar kuna wazaramo je wenyewe ndo waruhusiwe kuwa wabunge?
Muulize anajua Mbunge wa Temeke anatokea mkoa gani na kabila gani? Ulisikia siku moja watu wa Temeke tunalalamika?Basi na Dar-es-Salaam wagombee wenyeji kama wazaramo
Hujui kwamba Dr. Hussein Ally Mwinyi (Rais wa sasa Zanzibar) alikuwa Mbunge wa jimbo la Mkuranga lililoko mkoa wa Pwani Tanzania Bara?Bro kiroho safi Sasa hivi naweza kwenda Sengerema nikagombea kisa tu nimekua mkuu wa wilaya kwa miezi 10? Au nikaenda Uyole nikagombea kisa tu nimekua DAS kwa mwaka mmoja? Hebu niambie kule usukumani ni mbunge yupi ambae sio msukuma? Hajui kisukuma na amegombea? Sio ukabila, watu wa mahali fulani wanakua na changamoto zao unique ambazo ni watu wa maeneo Yale tu ndo wanazielewa. Ndo maana hakuna mtanganyika anayependa kugombea Pemba nafasi ya ubunge wa Kimuungano. Why? Kwa sababu hajui matatizo ya wapemba ni nini na nini.
Hata marekani Wana kigezo Cha ukaazi wa Mahalia kwa miaka kadhaa Ili ugombee.
P basi nikupe jimbo la mchinga,kwani wajumbe wa kawe fitna nyingi.Ila jiandae na mapokeo ya wana nchinga.Wasikubague tu.Huu ni ubaguzi!,ukemewe!
Arusha ni cosmopolitan mtu kutoka popote anaweza kuwa mbunge wa Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!.
P