mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,235
- 5,919
NImekaa Arusha mda mrefu watu wa Arusha siyo wabaguzi na wakabila. Wabunge wengi tu wamepita hapa ambao siyo wenyeji wa mkoa huu!!
Arusha ni jiji lenye watu wengi wenye mchanganyiko wa makabila mengi!! Nina amini hata hii thread ni mnyukano tu wa wagombea mahasimu wawili ndani ya CCM wanaendelea kupigana vijembe.