Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Naunga mkono hojaSifa za uongozi ni uraia, si ukabila.
Tanzania tushakuwa na wabunge mpaka wazungu hapo Kinondoni kina Derek Bryceson na Wahindi Morogoro kina Shamim Khan.
Kama wananchi hawamtaki mtu kwa sababu hawamjui na hawajui, wamkatae kwa sababu hawamjui na hawajui, si kwa sababu si mzawa wa eneo fulani.
Kwa sababu inawezekana mzawa akawa haelewi shida za wananchi na mgeni akaja na kuelewa shida za wananchi.
Kutamalaki sio kwa numbers bali kwa influence. Fanya utafiti wa owners of business entities then compare and contrast wazawa na wageni?. Nenda kwenye prime land ownership maeneo ya Njiro au Burka Estate, uangalie idadi ya wazawa compared na wageni!, hata wale watu wanaitwa machalii wa A Town, walio wajanjarua ni hao wageni wenyeji.Ki idadi wachaga hawajawazidi wenyeji kwa idadi. Wenyeji ni wengi.
Baeleze baelewe!, hatafu mtu wa eneo jingine, aende kugombea katika maeneo fulani ya makabila yenye ukabila mmbaya... thubutu...!1. Mh. Kiwia (mchanga) alikuwa Mbunge wa Ilemela Mwanza 2010-2015
2. Mh. Mh Wenje (mjaruo wa rolya/Kenya) alikuwa Mbunge wa Nyamagana Mwanza 2010-2015
3. Jimbo la Kwimba usukumani Mbunge wake siyo Msukuma, ni Mhindi
4. Nzega ambapo population yake ni Nyamwezi/Sukuma mbunge wake siyo katika kabila hizo
5. Rostan Aziz pale Igunga hakuwa Msukuma/Mnyamwezi
Kwani Mwinyi alihamia Zanzibar lini? Baba yake mzazi sio mtoto. Asingehamia huko kelele za Mbara ungezisikia. Yule anakitambulisho za Uzanzibar ukaazi. Asingekua nacho hujma angefanyiwa ndo angeelewa kweli yeye Mbara na sio mzenji. So mtoto alikua na leeway ya kutumia kwa Babu, au Baba. Na kote amekutumia vizuri sana.Hujui kwamba Dr. Hussein Ally Mwinyi (Rais wa sasa Zanzibar) alikuwa Mbunge wa jimbo la Mkuranga lililoko mkoa wa Pwani Tanzania Bara?
We nguruwe inaonekana umezaliwa mwaka 2000, tuambie Dsm wazawa ni kina nani. Acha siasa za kishambs za kikabila. Arusha ni jiji tena la kimataifa, nchi hii majiji km Arusha na Dar ndio majiji pekee hayana ukabila usilinganishe na wale washamba wa Mwanza na Mbeya. Km shida yako ni Makonda tumia hoja zingine siyo ukabila, mbn alishagombea Kigamboni Dsm hamkuja na hii hoja? Au mnafikiri Dsm haina hao mnaowaita wazawa? Mwafrika akili yake ni giza km ngozi yake. Karne hii mtu anazungumzia ukabila tena mtoto mdogo, ni aibu.Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo cha kisiasa tu.
Watanzania bado wanakumbuka jinsi mikoa ya Kaskazini ilivyohujumiwa na kudhalilishwa wakati wa awamu ya tano ya uongozi wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Hayati Rais John Magufuli. Mikoa hiyo, pamoja na kuonyesha mchango mkubwa wa kisiasa na kiuchumi, iliambiwa isubiri zamu ya mikoa mingine – hasa ya Kanda ya Ziwa – ambayo viongozi wake walionekana kupewa nafasi nyingi serikalini.
Leo hii, hali kama hiyo inataka kurudiwa kwa sura mpya. Mfano halisi ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda – ambaye anatoka nje ya mkoa huo – kuonyesha nia ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini. Hili linazua maswali mengi kwa wananchi wa Arusha: Je, ni kweli hakuna wenyeji wenye uwezo, maono na sifa za kuwa wabunge? Kwa nini tusione huu ni mwendelezo wa siasa za kulazimisha utawala kutoka nje ya mikoa ya Kaskazini?
Kama kweli CCM inasikia sauti ya wananchi, basi ni lazima izingatie hisia na historia ya watu wa mikoa ya Kaskazini. Tunahitaji viongozi wanaotufahamu, walioko karibu na changamoto zetu, na wanaoguswa na maisha ya kila siku ya wananchi wa maeneo haya.
Kwa muda mrefu, wananchi wa Arusha na mikoa jirani wamekuwa mstari wa mbele katika harakati za haki, uhuru na maendeleo. Haitakuwa busara kuwavunjia heshima kwa kuwaletea viongozi wa "kupachikwa" wasiogusa mizizi ya jamii hizi.
Tukumbuke Historia – Tujenge Mwelekeo Mpya
Ni muhimu tujifunze kutoka kwenye makosa ya awamu zilizopita. Tukumbuke namna mikoa ya Kanda ya Kaskazini ilivyotengwa na kusahaulika katika masuala ya kitaifa, licha ya mchango wake mkubwa. Sasa ni wakati wa wananchi kusema: inatosha! Tunataka viongozi wetu watoke miongoni mwetu, watu wanaojua shida zetu na wanaoweka maslahi ya wananchi mbele.
Mungu ibariki Arusha. Mungu ambariki Tundu Lissu – kiongozi aliyesimama kidete kutetea haki bila woga. Ni wakati wetu sasa, watu wa Kaskazini, kusema kwa sauti moja: "Uongozi wa majimbo yetu ni wetu!"
Makonda alijenga Arusha miaka mingi, akivyopumzishwa uRC alienda kuishi Arusha, kwake Arusha ni nyumbani. Acheni siasa za kishamba, je Gambo Arusha ni kwao? Msilinganishe Arusha na hivyo vijiji vyenu, ndani ya jiji km Arusha kuna kila kabila. Baba wa Taifa alituambia mwanasiasa waliokosa hoja hukimbilia kutumia ukabila au udini. Hao ni wafuasi wa Gambo ina maana Gambo ni mtu hatari sn kwa ustawi wa nchi hii. Je Gambo ni wa Arusha? Ukitaka kujua ni Gambo ametumia ukanda ametumia kanda ya kaskazini badala ya kutumia ukabila kwasababu mamake ni mmachame wa Moshi.Watakuita mkabila mkuu, kama ni ukabila basi ni mara 1000% nionekane hivyo ila sitokubali kumpigia kura jimboni kwangu mtu asiyejua hata kata 2 za mkoa wangu
Naunga mkono hojaHuu ni ubaguzi!,ukemewe!
Arusha ni cosmopolitan mtu kutoka popote anaweza kuwa mbunge wa Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!.
P
Watu wengi wa kaskazini wamewahi kiwa wabunge sehemu mbalimbali za nchii hii Tanzania ni mmoja acha ujingaWatakuita mkabila mkuu, kama ni ukabila basi ni mara 1000% nionekane hivyo ila sitokubali kumpigia kura jimboni kwangu mtu asiyejua hata kata 2 za mkoa wangu
Sengerema na Arusha wapi na wapi, zungumzia na linganisha Arusha jiji na Dsm, mbn Dsm hamzungumzii Dsm? Ni hizo post ni za Gambo mwenyewe, ni mtu hatari.Bro kiroho safi Sasa hivi naweza kwenda Sengerema nikagombea kisa tu nimekua mkuu wa wilaya kwa miezi 10? Au nikaenda Uyole nikagombea kisa tu nimekua DAS kwa mwaka mmoja? Hebu niambie kule usukumani ni mbunge yupi ambae sio msukuma? Hajui kisukuma na amegombea? Sio ukabila, watu wa mahali fulani wanakua na changamoto zao unique ambazo ni watu wa maeneo Yale tu ndo wanazielewa. Ndo maana hakuna mtanganyika anayependa kugombea Pemba nafasi ya ubunge wa Kimuungano. Why? Kwa sababu hajui matatizo ya wapemba ni nini na nini.
Hata marekani Wana kigezo Cha ukaazi wa Mahalia kwa miaka kadhaa Ili ugombee.
Watu wanaowaza ukabila kila wakati IQ yao ni ndogo sana!!We nguruwe inaonekana umezaliwa mwaka 2000, tuambie Dsm wazawa ni kina nani. Acha siasa za kishambs za kikabila. Arusha ni jiji tena la kimataifa, nchi hii majiji km Arusha na Dar ndio majiji pekee hayana ukabila usilinganishe na wale washamba wa Mwanza na Mbeya. Km shida yako ni Makonda tumia hoja zingine siyo ukabila, mbn alishagombea Kigamboni Dsm hamkuja na hii hoja? Au mnafikiri Dsm haina hao mnaowaita wazawa? Mwafrika akili yake ni giza km ngozi yake. Karne hii mtu anazungumzia ukabila tena mtoto mdogo, ni aibu.
Yaani eti mtu anajiona anatosha kuwa mbunge wa Arusha mjini kisa alifanya tamasha la land Rover na tamasha la pkpk na kisa wale wavuta bangi wadudu anawanunulia bangi na konyagi wanapita mtaani wanamfagilia kila konaMajimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo cha kisiasa tu.
Watanzania bado wanakumbuka jinsi mikoa ya Kaskazini ilivyohujumiwa na kudhalilishwa wakati wa awamu ya tano ya uongozi wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Hayati Rais John Magufuli. Mikoa hiyo, pamoja na kuonyesha mchango mkubwa wa kisiasa na kiuchumi, iliambiwa isubiri zamu ya mikoa mingine – hasa ya Kanda ya Ziwa – ambayo viongozi wake walionekana kupewa nafasi nyingi serikalini.
Leo hii, hali kama hiyo inataka kurudiwa kwa sura mpya. Mfano halisi ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda – ambaye anatoka nje ya mkoa huo – kuonyesha nia ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini. Hili linazua maswali mengi kwa wananchi wa Arusha: Je, ni kweli hakuna wenyeji wenye uwezo, maono na sifa za kuwa wabunge? Kwa nini tusione huu ni mwendelezo wa siasa za kulazimisha utawala kutoka nje ya mikoa ya Kaskazini?
Kama kweli CCM inasikia sauti ya wananchi, basi ni lazima izingatie hisia na historia ya watu wa mikoa ya Kaskazini. Tunahitaji viongozi wanaotufahamu, walioko karibu na changamoto zetu, na wanaoguswa na maisha ya kila siku ya wananchi wa maeneo haya.
Kwa muda mrefu, wananchi wa Arusha na mikoa jirani wamekuwa mstari wa mbele katika harakati za haki, uhuru na maendeleo. Haitakuwa busara kuwavunjia heshima kwa kuwaletea viongozi wa "kupachikwa" wasiogusa mizizi ya jamii hizi.
Tukumbuke Historia – Tujenge Mwelekeo Mpya
Ni muhimu tujifunze kutoka kwenye makosa ya awamu zilizopita. Tukumbuke namna mikoa ya Kanda ya Kaskazini ilivyotengwa na kusahaulika katika masuala ya kitaifa, licha ya mchango wake mkubwa. Sasa ni wakati wa wananchi kusema: inatosha! Tunataka viongozi wetu watoke miongoni mwetu, watu wanaojua shida zetu na wanaoweka maslahi ya wananchi mbele.
Mungu ibariki Arusha. Mungu ambariki Tundu Lissu – kiongozi aliyesimama kidete kutetea haki bila woga. Ni wakati wetu sasa, watu wa Kaskazini, kusema kwa sauti moja: "Uongozi wa majimbo yetu ni wetu!"
Kaka huku usukumani kuna Muhindi kabisa hajui hata kiswahili vizuri na ni mbunge wa jimbo la Kwimba amehudumu kwa vipindi vitatu mpaka sasa hivi haya mambo ni michongo tu watu wakiamua kuku bless unakula jimbo ndio kinachojiri kwa MakondaBro kiroho safi Sasa hivi naweza kwenda Sengerema nikagombea kisa tu nimekua mkuu wa wilaya kwa miezi 10? Au nikaenda Uyole nikagombea kisa tu nimekua DAS kwa mwaka mmoja? Hebu niambie kule usukumani ni mbunge yupi ambae sio msukuma? Hajui kisukuma na amegombea? Sio ukabila, watu wa mahali fulani wanakua na changamoto zao unique ambazo ni watu wa maeneo Yale tu ndo wanazielewa. Ndo maana hakuna mtanganyika anayependa kugombea Pemba nafasi ya ubunge wa Kimuungano. Why? Kwa sababu hajui matatizo ya wapemba ni nini na nini.
Hata marekani Wana kigezo Cha ukaazi wa Mahalia kwa miaka kadhaa Ili ugombee.
Morogoro ndo wakuwaonea huruma.....! Wamejaza migabacholi tu kwenye ubungeMtoa mada upo Sahihi kabisaa ingawa Mimi sio MTU wa kaskazini ila vyema kila Jimbo liwe na wazawa tu
Angekua mwenyeji wa Arusha sawa. Kwa Hilo Dar unalolisemea ni mwenyeji maana ana nyumba na makazi ya kudumu kule kwa muda. Hata kujua ukaazi wa mtu wa kikodi una wakati wake. Sio kukaa mwaka mmoja na wewe unakua mwenyeji. Angekua amekaa Arusha Toka 2020 atleast.Sengerema na Arusha wapi na wapi, zungumzia na linganisha Arusha jiji na Dsm, mbn Dsm hamzungumzii Dsm? Ni hizo post ni za Gambo mwenyewe, ni mtu hatari.
Wale wahindi wamezaliwa huko, nimetembea kidogo usukumani. Nimekutana na wahindi wengi huko ndani. Wana makazi na ni wenyeji ila ikifika kuoa wanapanda kwenda Oman kuoa au kuolewa. Siwezi kuwaswma sio wenyeji hao. Hata kina Mo wamekulia mitaa ya Singida.Kaka huku usukumani kuna Muhindi kabisa hajui hata kiswahili vizuri na ni mbunge wa jimbo la Kwimba amehudumu kwa vipindi vitatu mpaka sasa hivi haya mambo ni michongo tu watu wakiamua kuku bless unakula jimbo ndio kinachojiri kwa Makonda
Wewe kweli kitimoto unafaa kuwa kitoweo soon.Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo cha kisiasa tu.