Mbona Lema ulimpigia au Mbona ChoiceVariable anampigia Sugu pale Mbeya mjini na Dr Tulia kule Uyole? 😄Watakuita mkabila mkuu, kama ni ukabila basi ni mara 1000% nionekane hivyo ila sitokubali kumpigia kura jimboni kwangu mtu asiyejua hata kata 2 za mkoa wangu
Kwa hoja hii si Arusha tu, hata Dar es Salaam. Upo sawa.Kutamalaki sio kwa numbers bali kwa influence. Fanya utafiti wa owners of business entities then compare and contrast wazawa na wageni?. Nenda kwenye prime land ownership maeneo ya Njiro au Burka Estate, uangalie idadi ya wazawa compared na wageni!, hata wale watu wanaitwa machalii wa A Town, walio wajanjarua ni hao wageni wenyeji.
P
Mbunge ni muakilishi wa Wananchi wa eneo husika. Yaani aje mtu wa eneo jingine eti aje awe msemaji wao?? Hapana.Unahubiri ukabila na ukanda ndugu mleta mada. Kila mtanzania ana haki ya kuishi na kugombea ubunge mahala popote kwenye Jimbo lolote.
Hao walikuwa ni wakazi wa hayo maeneo1. Mh. Kiwia (mchanga) alikuwa Mbunge wa Ilemela Mwanza 2010-2015
2. Mh. Mh Wenje (mjaruo wa rolya/Kenya) alikuwa Mbunge wa Nyamagana Mwanza 2010-2015
3. Jimbo la Kwimba usukumani Mbunge wake siyo Msukuma, ni Mhindi
4. Nzega ambapo population yake ni Nyamwezi/Sukuma mbunge wake siyo katika kabila hizo
5. Rostan Aziz pale Igunga hakuwa Msukuma/Mnyamwezi
Hakuna mahala mtoa mada kataja kabila. Bali kasema atokane na Mkazi aliyekulia au kuzaliwa eneo husika na siyo aliyotokana na kabila la eneo husika.We nguruwe inaonekana umezaliwa mwaka 2000, tuambie Dsm wazawa ni kina nani. Acha siasa za kishambs za kikabila. Arusha ni jiji tena la kimataifa, nchi hii majiji km Arusha na Dar ndio majiji pekee hayana ukabila usilinganishe na wale washamba wa Mwanza na Mbeya. Km shida yako ni Makonda tumia hoja zingine siyo ukabila, mbn alishagombea Kigamboni Dsm hamkuja na hii hoja? Au mnafikiri Dsm haina hao mnaowaita wazawa? Mwafrika akili yake ni giza km ngozi yake. Karne hii mtu anazungumzia ukabila tena mtoto mdogo, ni aibu.
Sahihi, ilitakiwa kuwe na Sheria mtu kugombea ubunge awe mkazi wa kudumu wa hilo eneo kwa zaidi ya miaka mitano kuelekea kipindi cha uchaguzi.Mbunge ni muakilishi wa Wananchi wa eneo husika. Yaani aje mtu wa eneo jingine eti aje awe msemaji wao?? Hapana.
Hizo ni tamaa za uongozi. Huwezi wafanya wengine kuwa daraja la mafanikio yako binafsi za kisiasa. Lazima muakilishi atoke miongoni mwao ni si wa kuletewa. Ni udhalilishaji na dharau kwa wakazi wa eneo lile.
Mbunge anatakiwa kuwa mkazi wa kudumu wa jimbo husika, nchi zote za watu wenye akili na wanaojielewa hiki ni kigezo muhimu sana pia.Sifa za uongozi ni uraia, si ukabila.
Tanzania tushakuwa na wabunge mpaka wazungu hapo Kinondoni kina Derek Bryceson na Wahindi Morogoro kina Shamim Khan.
Kama wananchi hawamtaki mtu kwa sababu hawamjui na hawajui, wamkatae kwa sababu hawamjui na hawajui, si kwa sababu si mzawa wa eneo fulani.
Kwa sababu inawezekana mzawa akawa haelewi shida za wananchi na mgeni akaja na kuelewa shida za wananchi.
Mbunge anatakiwa kuwa mkazi wa kudumu wa jimbo husika, nchi zote za watu wenye akili na wanaojielewa hiki ni kigezo muhimu sana pia.
Kagombee jimbo la Unguja kusini uone kama hata fomu utapewa. Ubunge ni kama uongozi wa serikali za mtaa, unatoka kwenu kigurunyembe unapopajua zaidi unaenda kugombea uenyekiti wa mtaa wa magomemi mapipa utaeleweka kweli?Akili yako ndogo, tunajitahidi kuvuka mambo ya ukabila wewe unaturudisha nyuma!!
Wewe kagombee ukuu wa kabila lako lakini Ndani ya CCM yetu usituletee ukabila wako!!
Hao ni Watanzania na wanasifa kugombea UBUNGE mahali popote.
Mbona Kikwete aliwatawala? Au wakati anatawala mama yako alikuwa hajapata mimba yako?Achana na Dar kwa akili yako Kuna Mzaramo mwenye akili timamu ya kuwa mbunge nani acheze ngoma. Kuna jamii hapa bongo by default niwakutawliwa tu hasa huku pwani