Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Ngoja utaona madhara yake huko mbeleni kama Mbowe atashinda.

Mbowe ni project ya Ccm, akishinda chama kitadumaa.
Yaani kwa akili yako unataka tuyumbishwe na spinning hii ya kitoto??
 
MBOWE ndio anahonga lakini LISSU wajumbe wanamuhtaji kuliko yeye alivyothubutu kugombea nafasi ambayo huwa haingombewi na yeyote

Ikitokea ukaingombea uhai wa uanachama na nafasi ya uongozi ulionao ndani ya chama unanyang'anywa na sultan MBOWE

Awamu hii ameshtukizwa hana jipya
Watahangaika sana na elfu 10 wanazolipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…