Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

21 Jan iwe tu siku ya mapumziko! Au uchaguzi utafanyika usiku wa manane kama shirki?

Polisi wawepo viunga vya ukumbi,metal detectors langoni muhimu.
 
Chadema mwaka huu ndiyo mwisho wake kama ilivyotokea kwa NCCR na CUF.
 
Unadhani hawana akili kabisa? hapana. Walikuwa wanataka mbowe aondoke. Wamegundua kuwa anayetaka kuchukua kiti ni lissu. wameshtuka wameona bora aendelee mbowe maana anazungumzika.
Atakuja kuchukua cha hapo chamani kwenu.
 
Je,kama Mbowe akishinda nafasi ya mwenyekiti Kwa kutumia wapigakura ukumbini,huo mtandao wa akina Lisu na Heche watakimbia chama? Maana kila siku wanahubiri kwamba Kuna rushwa kwenye uchaguzi wa Chadema?
 
Kundi la Lissu ni waongo sana, wanawafanya wafuasi wao ni mazezeta. Wenyeviti halali wa mikoa wapo kwenye press sasa hivi wanakanusha kumuunga mkono Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…