Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Mada kama hizi ndipo utajua wanaume wa Tz walivyo na mshikamano linapokuja suala la mwenzao kushindwa kuichakata vyema au kuzagamua, na ajabu huwa wanasikitishwa kwa pamoja na wanalibeba tatizo kama la kwao wote..

Watakuja wenye kila aina ya ushauri, mwingine kunywa eneji, mwingine kula miguu ya kuku anayetaga basi tu ili mradi wamuokoe mwenzao...
 
Kwanza kaa mwezi 1 au wiki 3 bila ngono(una restore mwili na akili).

Chemsha chai ya tangawizi Kali mixer kitunguu swaumu, mdalasini wa unga (ule wa India).1×3.(mwezi 1)
* Au iwe ratiba yako .

Mchana parachichi, ndizi 2 na kipande 1 Cha tikiti maji.

jioni kula chakula, mboga za majani, Kisha karanga mbichi, karoti, parachichi ndizi 2 na unywe maji ya kutosha.

Dr wa Manesi HIi ndio kiboko Yao, acha nyeto na ma porno boya wee
 
Back
Top Bottom