Omba Toba Rehema Zaburi 51...Amina,
kwahiyo kipindi namsubiri wa kufanana naye naishindaje hii dhambi(uzinzi)?
Wanatumia kibombaNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Amen ila huo ni mwili na ni hitaji la kibinadamuOmba Toba Rehema Zaburi 51...
Wakati mwingine ni Roho ya Uzinzi kama ukiwa na tamaa ya zinaa kupitiliza
Ni kweli, ilaAmen ila huo ni mwili na ni hitaji la kibinadamu
Upo kwenye Ovulation?Namimi nipo katika hiki kipindi
Katika hiyo waiting period sasa unatakiwa azuie vipi genyeMtafute Mungu akupe wa kufanana naye...( Mume)
Unaweza kuvumilia kwa muda gani?
Gegedwa wewe acha kujipa stress 🤣🤣🤣🤣Namimi nipo katika hiki kipindi
maji ya moto anawie kule kwa mshangazi 😂Katika hiyo waiting period sasa unatakiwa azuie vipi genye
Akimpata huyo Mungu anishtue.Mtafute Mungu akupe wa kufanana naye...( Mume)