Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Ukiona binti anakibanabana eti kisa ni binti sayuni na utumbo mwingine ,jua tu soko lake ni finyu mno
Hapana sio kweli kuna muda unaokoka unaacha mambo ya kidunia, ni maamuzi mazuri mtu tu kuamua kutulia! Wala kugawa gawa sio sifa! Isitoshe nyie mnaogawiwa hamjaligi soko la mtu mnapitaga hamuangalii, uongo?
 
Asante James!
Pm huwa iko sehemu gani mkuu maana sijawahi kuitumia, na mafisi huwa nawashinda😂
Kuna fisi, fisi maji, fisi fisi halafu kuna mafisi. The later is as dangerous as it's name precedes, na wahumu ni hatari kuliko uliowahi kukutana nao wote.
PM (private message )juu ktk kibahasha hapo ni sawa na DM.
Good luck.
 
Basi mi naumwa,,hata niwe kwenye relation,nisipoombwa sisanuki tunaeza lala wote apo
Sema huyu atakaye muoa atafaidi,, mtoto atatoa huduma kila siku,, mchawi ajazwe majukumu awe bize
Jamani, ni vile tu nmeshachokaga hizo mambo nmeamua kuanza upya, sio kama nimeitunza toka enzi🙄
 
Kuna fisi, fisi maji, fisi fisi halafu kuna mafisi. The later is as dangerous as it's name precedes, na wahumu ni hatari kuliko uliowahi kukutana nao wote.
PM (private message )juu ktk kibahasha hapo ni sawa na DM.
Good luck.
Mwee! Ni jasho 🥵 basi niombeeni na nyie ndugu zanguni niokoke na hili janga la hizi aina kuu 3 za mafisi😨
 
We speak the same language 😊
Mimi ni mwanaume ila nitakusaidia, obvious wewe sio Virgin, vinginevyo Nyege zisingekuwa kali hivyo. By design ulitakiwa ulipopevuka tu upate mume uolewe, lakini sababu ya hizi harakazi za maisha, kusoma, kutafuta kaze etc dunia imekengeuka, watu wanafika above 30 hawana mahusiano ya kueleweka. Tamaa za mwili hazijui una ume ama la hiyo ni by natural design, mshinde shetani, inawezekana, roho mtakatifu akuongoze katika hilo. Shetani atakuletea short cuts nyingi ambazo hazina maana, short term releaf lakini matatizo yako yatabaki pale pale, na mara nyingi njia hizo zina mwisho mbaya. Najua lengo la uzi wako ni kutafuta hizo short cuts. ACHA. Hakuna jibu zaidi ya Kwa Yesu. Naandika hivi mimi sio mtakatifu wala muhubiri, ni mtu tu ninayepitia changamoto kama zako, na usishangae nikaanguka kabla yako.
 
Back
Top Bottom