Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Kibaya zaidi huko huko makanisani kuna wajanja huwa wanawaoa mapema sana. Mara nyingi kwa waliobarukwa kwenda chuo huwa hawamalizi miezi sita ya kabla au baada ya kumaliza chuo wanakuwa engaged tayari for marriage.
Kingine wanakuwa wamekaza San so akifika katk hiyo miezi sita tajwabhapo juu anawaza ndoa ili akawe huru maana kigezo Cha yeye kutoka nyumbani na kwenda kupanga ukitoa mambo ya chuo ni ndoa.
Sawa master
 
Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.

Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?

Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.

Asanteni sana.
Wewe ni bikra ?
Kama sio bikra endelea kugegedana na huyo mzinzi mwenzako
 
Aisee asante sana kwa mawazo yako, umenigusa kwa namna yake na ni kweli kabisa, maisha haya na changamoto zake zinaweza kutufanya tujikute njia panda. Nimeandika kwa sababu nimebanwa sana moyoni na nikadhani labda nipo peke yangu kwenye hili. Lakini jibu lako limenifanya nijue kuna wengine pia wanapambana kama mimi! Nitamtegemea Yesu, sina njia nyingine, Mungu akusaidie pia katika safari yako kaka ake!
Ni heri ukae na hamu ya mapenzi kuliko kuzini kiholela, kuliko kufanya punyeto, kuliko kusagana au njia yeyote ya mkato. Usiingie kwenye mtego wa kusema nafanya mara ya mwisho, punyeto ya mwisho, sex ya mwisho,utajikuta kwenye endless circle ya mara ya mwisho nyingi zisizo na idadi na majuto mengi kila unapojikwaa. Inachukua mwezi mmoja tu kwa binadamu kuchukua tabia mpya, ukijitahidi kukaza mwezi mmoja tu mbele itakuwa rahisi kidogo. Nipo katika hali kama yako, na mimi ni mhanga tu, sio mtu mwenye ujasiri mkubwa au maarifa mengi. Naanguka sana.
 
Back
Top Bottom