Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Nani amekuambia ngono ni Dhambi ?

Ngono sio dhambi mkuu watu wanaojitenga na uzizi sio kwa sababu ya dhambi ni baadhi ya wanawake na wanaume kuwa na mikosi .

Hayo mambo ya dhambi ni VITISHO kwakuwa hiyo ni nature .
Wewe una akili sana.. hizi imani kuletewa zimetufanya tumekuwa wapumbavu sana .. Sasa kama hapo anataka kushindana na nature ..

Hakuna kitu kinaitwa dhambi au sijui motoni.. tumekuwa programmed na mambo ya kipumbavu sana

Akatombwe huko
 
Huwezi elewa kama una ELIMU ya MZUNGU 😂😂
Elimu ya mzungu ndio which one?
Am very very educated in mzungu education but me never hearing of this theory that uzi zi is linked to no money...infwact uzi zi is linked to mo more bcoz no broke man is capable of uzinziri g becoz ze woman is not like poor kibamiaz or liboroz
 
Sio nadharaia za ajabu ajabu, kila mtu ana neema yake na nyota hazifanani kiukweli kuna watu wana mikosi ukikutana naye kimwili its best to stay clean kuna vitu una achieve kwa wepesi ukiepuka uzinzi!
Mweee uwongo mtupu basi wamarekani wangekuwa hawana hela lakini wao na hela zao za porno ndio zinawapa vyoo watoto wetu
 
Wewe una akili sana.. hizi imani kuletewa zimetufanya tumekuwa wapumbavu sana .. Sasa kama hapo anataka kushindana na nature ..

Hakuna kitu kinaitwa dhambi au sijui motoni.. tumekuwa programmed na mambo ya kipumbavu sana

Akatombwe huko
Hakika asipambane na nature Ila pia sifikirii binadamu akiamua kujizuia na sex anashindwa
 
Tangu Imani ilivyoingia kwenye bihashara na zaidi kuongoza kwa kubagua na viwango vya sadaka, na kuwa mtaji kwa wanasiasa.

Mie mnitoe kwenye Imani zenu.
Imani ni ya mtu binafsi na moyo wake sio ya kijumla! Au unaongelea dhehebu! Ata watu wanaosali kanisa moja sio wote wanaimani moja na kupokea au kufunguliwa kunatofautiana!
 
Back
Top Bottom