Yah mfano mimi ni almost mwez sasa😂.Uwe KE au ME kuishi bila kufanya ngono inawezekana na bila shida .
Maombi yakikataa nijulishe nije kukuombea kwa kukuwekea mkono hapi kwenye mashine😂Aisee sio poa
Unapata mihemuko Hadi kizunguzungu yaani
Huu mwaka sijui kama natoboa
Niombeeni Sana jamani
Lishakua handaki sasa.Sana mpk nmeshtuka!
Sawa bwashee, I hope umepata kuuelewa Uzi😎Wa kula chuma ni mtoa mada sio mimi waaa, mimi nakula bia tu tena sio local ujue🤣
Kumbe wewe size ndogo kabisa 😋
Wewe inaonekana ukikumbatiwa tu asali inaaza kudondoka 😄Amina,
kwahiyo kipindi namsubiri wa kufanana naye naishindaje hii dhambi(uzinzi)?
Achana na huyo njooo kwangu nikuwowe mie sina nuksiNioe basi wewe😎
Wadau wanadai ni tangazo ila mimi naona hapana ni changamsha genge tu🤔Sawa bwashee, I hope umepata kuuelewa Uzi😎
Njoo kwangu binti Sayuni nikusitiri wakati unamsubiria mumeo.Amina,
kwahiyo kipindi namsubiri wa kufanana naye naishindaje hii dhambi(uzinzi)?
Hakika 100% watu wameamua kujiendekezaHashindwi kabisa ,mimi niliweza mwaka na nusu hivyo sishangai mwingine akiweza na hata zaidi.
Wameshakuambukiza ubaya 😆😆Tuma hapa , nikutafute ili uje kudai nilikua nakutaka🚮
Wadau wanadai ni tangazo ila mimi naona hapana ni changamsha genge tu🤔
Kabisa kuna fundisho kubwa nimepata ,😛😛😛Wameshakuambukiza ubaya 😆😆
Yeah najuaChangamsha genge.
🤐Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.