Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Nimejiwekeza vyema tu! Na kumpata huyu mume sio swala rahisi kiasi hiki! Sasa naongelea ule muda ninaosubiri hiyo ndoa naishindaje hii dhambi?
Unaishi vizuri mpendwa, ila moja uwe mtu sana wa kuwa busy the siku nzima usirihu upweke au kukaa kidhembe dhembe, jipe kazi unahakikisha hadi mda wa kulala unakuwa hautoshi. Binafsi nilifanikiwa kuwa kuwa busy kupita kiasi kwa siku nilikuwa nalala masaa tatu au mamwili tu, mwili na akili vikawa focused sana na mambo ya hela na kazi na jamii
 
Get busy kutafuta hela dear,find another project ya kukufanya busy huku ukijitahidi kuingia kwenye you tube channels za maombi na mafundisho ya neno la Mungu
nina experience na ninachokwambia and yes mimi nime practice celibacy it’s possible na inakupunguzia mambo mengi unakuwa na amani wakati ukimsubiri mr right
upo kipindi kizuri sana being single is a perfect time to hear God cleary
ukihitaji muongozo zaidi karibu pm I can help especially kwenye kusali na kufatilia sermons zitakazokupa uelewa wa kipindi unachopiti
I will text you dear! Of all people wewe pekee umenielewa nashukuru sana! Na ubarikiwe..wengine wameniona mdhambi kuzidi wao, wapo wengine wanataka niwe kama malaika kisa nmeokoa, wengine wameniita majina na wwngine kujikuta ma-deputy jesus! Asante sis in Christ umeamua kulibeba swala langu na kuniamini bila maswali! asante sana talifanyia kazi ubarikiwe sana 🙏🏽
 
Wanakulana na walokole wenzao.
Kabla sijawa mtu wa kanisa nilikuwa nawaza hivyo hivyo
Ila sasa tangu niwepo Kanisani nimeona wachungaj wakila wanakwaya, vijana, wamama n.k
Na wao pia wanaanguka Ila ni kwa wao kwa wao
Ni sawa uko sahihi japo sina shuhuda yoyte katika haya huwa nayasikia tu! Hili ni jambo langu binafsi, linanihusu mimi pekee kwa maana sitabebana na mtu yoyote katika hatima yangu! Kwa hiyo nimeomba ushauri wangu mimi kama mimi na si wa makanisa
Asante!😊
 
Kuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
Huu mwandiko kama naufananisha hivi?
 
Mimi nachojua Wanawake wana uwezo Mkubwa wa kukaa bila kufanya ngono

Kuna Bibi Mkubwa alikuwa na umri wa miaka kama 43 hivi wakati anafiwa na mumewe, amekaa hivyo bila Mume hadi alivyofariki Kwa Uzee wa miaka 93

Nadhani ukiwa busy na ukiwa mtu wa mazoezi kidogo, unaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na ashki

Changamoto ni kwetu Wanaume, unaweza kutembea hapa na Posta ukajikuta njia nzima Mnala unakamata network tu 🙌
 
Mimi nachojua Wanawake wana uwezo Mkubwa wa kukaa bila kufanya ngono

Kuna Bibi Mkubwa alikuwa na umri wa miaka kama 43 hivi wakati anafiwa na mumewe, amekaa hivyo bila Mume hadi alivyofariki Kwa Uzee wa miaka 93

Nadhani ukiwa busy na ukiwa mtu wa mazoezi kidogo, unaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na ashki

Changamoto ni kwetu Wanaume, unaweza kutembea hapa na Posta ukajikuta njia nzima Mnala unakamata network tu 🙌
Yeahh uko sahihi kabisa asantee kwa mawazo yako!
 
Back
Top Bottom