Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Endelea kujifunua..Na sijakuelewa wakina nani wamemark ID watakuja? Na je walishakuja kwako pia? Ulikuwa na biashara gani maybe, tujuzane mpenzi 😅
Endelea kujifunua..Na sijakuelewa wakina nani wamemark ID watakuja? Na je walishakuja kwako pia? Ulikuwa na biashara gani maybe, tujuzane mpenzi 😅
Usifagilie ustaa wa aina hiyoIla kwa sisi wakiume inakua kama ustaa fulani hivi 🤣
Na nikijifunika unapata faida gani?Endelea kujifunua..
ile issue ni kuwa busy siku nzima. Na mda wa kulala uwe mdogo sana,Mimi nachojua Wanawake wana uwezo Mkubwa wa kukaa bila kufanya ngono
Kuna Bibi Mkubwa alikuwa na umri wa miaka kama 43 hivi wakati anafiwa na mumewe, amekaa hivyo bila Mume hadi alivyofariki Kwa Uzee wa miaka 93
Nadhani ukiwa busy na ukiwa mtu wa mazoezi kidogo, unaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na ashki
Changamoto ni kwetu Wanaume, unaweza kutembea hapa na Posta ukajikuta njia nzima Mnala unakamata network tu 🙌
Ukiweza kuwa mtu wa maombi pamoja na hayo niliyosema, una nafasi kubwa ya kukaa bila kushiriki ngonoYeahh uko sahihi kabisa asantee kwa mawazo yako!
hahahahahahahaha dhambi ndio maana tunatubuNi dhambi
Sasa hizo show ntapiga na nani na nitazaa na nani au yoyote tu ili mradi 😅Dada kufanya mapenzi haiwezi kuwa dhambi uliumbiwa hormones zinazokufanya upate hizo hamu kwaajili ya nini? Zingeanza kuwa active pindi tu ukipata mume au ukiolewa kama tunavyoaminishwa.Mpaka sasa nazielewa sana jamii zinazoonekana kama ni uncivilised japo sitatoa mfano kwa kutaja jina la jamii hizo wao ukifika umri wa show ni show shoow hakuna cha kusubiri uzeeke ndiyo upate kibali cha jamii. Piga show ikiwezekana zaaa kabisa.
Unaongea sana bila sababu za msingi..Na nikijifunika unapata faida gani?
Unajipa kazi ya ulezi aisee😂
Nimeomba ushauri kama huna unakaa kimya sihitaji mambo mengi mengi kaanzishe uzi wako ujifunike wakuone wa maana sana mi niache ndo huwa niko hivi na huwezi kulibadili hili!
Hongera mkuu. Unaweza usiwe mpweke mpweke.. kwenye upweke ndio mwanzo wa mawazo ya kinjunjaUko sahihi ntalifanyia kazi pia😊
Yeah ni kweli usemacho, Binti Sayuni ajifunze hayo 🤗ile issue ni kuwa busy siku nzima. Na mda wa kulala uwe mdogo sana,
Ungeelewa maana ya parody basi neno kujifunua ungelielewa pia.Na wewe unafanyann? Au ndio una kazi ya kuwashauri mabinti huku ndani kubaya wasijifunue😂