Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
🤣🤣 vipe muda, wakichoka kubishana wenyewe kwa wenyewe ndio wanavileta nje na wewe utaviona kutokea hapo.Na ndicho ninachofanya , natamani ziwekwe connection zangu sijui kwanini au nineshalewa🤣🤣🤣
🤣🤣 vipe muda, wakichoka kubishana wenyewe kwa wenyewe ndio wanavileta nje na wewe utaviona kutokea hapo.Na ndicho ninachofanya , natamani ziwekwe connection zangu sijui kwanini au nineshalewa🤣🤣🤣
Dah! mwana ndo ashakula dada mlokole tayari. Vijana wabad sana! Sema lazima alifaidi wadada wa hivi wanakuwaga wat... kinoma au basi acha nisichafue upepo mwanana wa hii sledi pendwa. Nasabuskripsheni kabisa hii sledi kwa matumizi ya baadae.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Heee basi wakahisi nmevuruga soko 😂Achana na wadada wanafiki, wanapenda kujipa maisha ya high quality humu kumbe hamna lolote,Kila jambo lao huku ni zuri lakini wengi ni wauzaji wazuri sana taarifa tunazo
babyPole sana binti
Basi mimi nikajua wewe Dume Condoms kumbe ni Binti Bata?Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Kwa kufanya hayo uliyosema, upo karibuni kuletewa wa chaguo lakoKama kawaida 😂
Sema nimejifunza kuishi kulingana na hali yangu, siishi juu ya kipato kwakweli
Sijakamilika sana kiwokovu, lakini najitahidi kuna mambo mengi nimeyaacha naamini nitaacha na mengine zaidi, nimeweza kupunguza mitoko huwa sina kabisa sio kama awali, nimeacha kuomba omba watu ela, na mengine mengi
Najitahidi kuwa kiroho zaidi kuliko kimwili maana mi ni mdhaifu sana! Nina imani nitakuwa kiroho tu namimi!
Asante tena na tena! 🤝🏽
Tulivyokua tunachat kule nikajua kabisa wewe ni DumeHeee basi wakahisi nmevuruga soko 😂
Hapana jmn mi nimeomba ushauri kuotoka moyoni nimewaza kwa muda mrefu lkn nmeona tu niandike humu na sio kwa ubaya
Kwa hiyo will they excuse me😊
Wakufanana naye nimeshafika Tayari..Mtafute Mungu akupe wa kufanana naye...( Mume)
Ila huku umekuja kufungua uzi na jinsia tataSi ndio😂
Noma sanaJamani umenikagua je kama nimeamuandikia beshte angu😫
Una jinsia mbiliNiache niwachanganye tu na sio kwa ubaya😅
Muwa unazamisha Meli unajuaSi kwa ubaya..
🙏🙏🙏Amina jamanii 😍