MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Njoo nikupenikupe mambo utasahu Hadi kama ni dhambi.😛
Nipe mambo nifanye😫
Nipe mambo nifanye😫
MmmmmmmmmmmmmmmHata wapitaji wamepiga sana! Sio hao tu maboda wameichapa vibaya mno walevi🙌🏾
Ubaya wa humu mbona tu hata ukichat wanakupa mke hapo hapo 🤣Kabisa kuna fundisho kubwa nimepata ,😛😛😛
Sasa wewe unajisifu mwenyewe? Acha tukusifu sisi tutakaokuona.Oi oi oi! Hujatembea🤦🏽♀️
Nitafute nikutumie picha yangu
Unaishi kama mimi hapa kaka Sayuni miaka inapita sasa, hadi nimesahahu kama nina kidudeAmina,
kwahiyo kipindi namsubiri wa kufanana naye naishindaje hii dhambi(uzinzi)?
Wakati naanza kusoma uzi nilijua umeokoka zako. Ilaa khee haya.. wameshamark ID watakujaHata wapitaji wamepiga sana! Sio hao tu maboda wameichapa vibaya mno walevi🙌🏾
Get busy kutafuta hela dear,find another project ya kukufanya busy huku ukijitahidi kuingia kwenye you tube channels za maombi na mafundisho ya neno la Mungu
Yeah najua
Sio kweli nasilewi leo nakula vitu laini tu madam mzuri🤣Endelea kulewa😛
Ooooh vizuri,,,karibu utaanza kuokoka🏃🏃🏃Sio kweli nasilewi leo nakula vitu laini tu madam mzuri🤣
Wanakulana na walokole wenzao.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Siwezi kuokoka kamwe na kama wapo wanaojisumbua kwa hilo kuhusu mimi wataota sagamba la tako wakisubiriOoooh vizuri,,,karibu utaanza kuokoka🏃🏃🏃
Mie nilishakaa kwa miaka minne bila kufanya dhinaa, faida nilizopata ni uwezo mkubwa sana wa akili kuongezeka, spiritual power kuongezeka, alafu nilikuwa mwenye raha na furaha mda wote.. Na nilikuwa mwenye ujasiri mkubwa sana mda woteNamuomba Mungu nifike Dec na huu utakatifu
Mwakani tutajua cha kufanya
Habari yako SeranMpe mtu anachotaka kusikia!
Sawa parody..Kuokoka sio Kuwa mjinga au mpumbavu, ukijichanganya sikwepeshi na kuokoka nimeokoka utachagua ww ss uje vp!