Mbususu inapwita tuu 🤣🤣🤣🤣Kama week ilopita kuna siku sijaenda job sikuwahi kujua kama nyeeege ni ugonjwa yaani
I wish to say something lakini dhamiri inanikataza. Anyway, I am promised to another.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Alafu ebu muwe wa kweli hii nintenchnique kwelimaji ya moto anawie kule kwa mshangazi 😂
Kumbe ukizini na hela hupatai 🤣🤣🤣🤣Kuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
Zinaa ni nuksi.tujikaze Tu .Namimi nipo katika hiki kipindi
I get u dear...she is hiding somethingWe speak the same language 😊
niko hapa mm ndo wa wakufanana na ww ni inbox.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Asante James!I wish to say something lakini dhamiri inanikataza. Anyway, I am promised to another.
Omba Mungu sana kama unania ya dhati unashinda vizuri tu.
Pia, epuka mafisi huko PM.
Good luck
Sasa wewe ni WA kike?Kumbe ukizini na hela hupatai 🤣🤣🤣🤣
Ila waafrica bwana wana nadharia za ajabu ajabu
Ukiona binti anakibanabana eti kisa ni binti sayuni na utumbo mwingine ,jua tu soko lake ni finyu mnoKumbe ukizini na hela hupatai 🤣🤣🤣🤣
Ila waafrica bwana wana nadharia za ajabu ajabu
Ai ai ai balaaa....sasa utelezi wote huonunapotea bure bure jamani na kina mzabza tupoZinaa ni nuksi.tujikaze Tu .
Ila. Tuseme kweli ni ngumu.kuna saa unawaza kupandwa Tu .ni full kuloa .unavaa pedi bila period
So kuzini plus kukosa hela ni kwa wanawake tuuSasa wewe ni WA kike?
Huwezi elewa kama una ELIMU ya MZUNGU 😂😂Kumbe ukizini na hela hupatai 🤣🤣🤣🤣
Ila waafrica bwana wana nadharia za ajabu ajabu
Sio kweli .soko la mwanamke kushuka inategemea mambo mengiUkiona binti unakibanabana eti kisa ni binti sayuni na utumbo mwingine ,jua tu soko lake ni finyu mno
Sio nadharaia za ajabu ajabu, kila mtu ana neema yake na nyota hazifanani kiukweli kuna watu wana mikosi ukikutana naye kimwili its best to stay clean kuna vitu una achieve kwa wepesi ukiepuka uzinzi!Kumbe ukizini na hela hupatai 🤣🤣🤣🤣
Ila waafrica bwana wana nadharia za ajabu ajabu
JIbu ni kuolewa wewe tena unauliza, umejiwekeza vipi katika kuja kuwa mke wa mtu?Amina,
kwahiyo kipindi namsubiri wa kufanana naye naishindaje hii dhambi(uzinzi)?