Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Ni heri ukae na hamu ya mapenzi kuliko kuzini kiholela, kuliko kufanya punyeto, kuliko kusagana au njia yeyote ya mkato. Usiingie kwenye mtego wa kusema nafanya mara ya mwisho, punyeto ya mwisho, sex ya mwisho,utajikuta kwenye endless circle ya mara ya mwisho nyingi zisizo na idadi na majuto mengi kila unapojikwaa. Inachukua mwezi mmoja tu kwa binadamu kuchukua tabia mpya, ukijitahidi kukaza mwezi mmoja tu mbele itakuwa rahisi kidogo. Nipo katika hali kama yako, na mimi ni mhanga tu, sio mtu mwenye ujasiri mkubwa au maarifa mengi. Naanguka sana.
Namshukuru Mungu nimeweza kusimama mpaka muda huu! Na nina imani nitavuka! Kama pombe nilikuwa nakata mzinga na nimevuka, nina imani hiki hakitanishinda!
Asante kwa ushauri huu unanitia sana moyo kaka!
 
Kuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
Wewe utakuwa mbovu sana.
 
Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wako

Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wako

Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wako
Lakini kinacho fanyika ukiwa na mkeo ama mmeo ni kile kile unachokifanya na mchepuko, tena unaweza Kuta mchepuko unanogesha zaidi ya huyo mmeo au mkeo... Hiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom