Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Kuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
 
I wish to say something lakini dhamiri inanikataza. Anyway, I am promised to another.
Omba Mungu sana kama unania ya dhati unashinda vizuri tu.
Pia, epuka mafisi huko PM.
Good luck
 
Kumbe ukizini na hela hupatai 🤣🤣🤣🤣
Ila waafrica bwana wana nadharia za ajabu ajabu
 
niko hapa mm ndo wa wakufanana na ww ni inbox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…