Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
😄😄😄 ni ushauri tu. Akiamua afanye atafanya asipotaka asifanye pia.Utapeli ndio unaanza hivi hivi.
Una mwaminisha mtu kwamba ana mikosi, mizimu na mibalaa, Ili uanze kumhubiria habari uchwara za uponyaji kutaka hela zake na mali zake kama sadaka.
Mleta mada Bunchari kaa rada, Acha kupokea ushauri wa namna hii wa kwenda kwa manabii uchwara mwishowe uje upigwe hela zako.
Kaa chini, jitathmini na utambue kwamba..👇
You are your own provider and you are your own solutions in your life.
Na mojawapo ya umaskini mbaya wa Akili ni huu wakusubiri na kumuomba huyo Mungu akusaidie shida zako,
ilhali kiuhalisia ni wewe mwenyewe ndio unaumiza kichwa, namna gani utoke kwenye hizo shida.
Halafu bado unakaa kuamini kauli uchwara za Mungu hakawii wala hachelewi.
Usijali utajibiwa endelea kuomba, kuwa na uvumilivu wakati unasubiria huku ukikifanyia kazi kwa kuchukuwa hatua kile unachokiomba hakika amini nakuambia utajibiwa.Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
nilitoa ushauri tuh, kila la heri wewe ambae hujapumbazwa!Kauli za namna hii zimewaacha wengi kwenye umaskini.
Yani mfano, Utake uwe na mtoto halafu usiwe naye, Huyo mtoto ata kufuata kaburini?
Ndivyo mlivyo pumbazwa na hizo imani zenu.
Moto gani?Nilichogundua kumbe JF Kuna wapinga Kristo pia...acheni kupotosha watu wa Mungu enyi wapinga Kristo mkiendelea hivi hukumu ya moto itawapata milele liogopeni Jina la Bwana.
Huo ndio uhalisia ulivyo.We unapenda kulalamika Sana upo too negative
Una dyslexia?Nilikua barabarani nikasoma kwa haraka haraka..
Now ndio nimetulia nimesoma kwa utulivu..
Asante
Hapana mkuu,Una dyslexia?
Hicho unachokiomba au kikiombea unakifanyia kazi? Unaomba hela wakati huko ndani umelala? Pambania hicho unachokiombea na acha mambo ya kutoa hela kizembe eti sadaka utafanywa kama "kiboko wa wachawi". Timing ya maombi ni muhimu! Wengi ukinga maji wakati mvua imeishakata! Mfano unaombea siku yako ya kesho asubuhi saa 12 wakati wachawi wanaloga saa 9 usiku!!! Utatoboa kweli? Siku hizi wachawi wanaloga hata mchana kweupe ni kwa vile huna macho ya rohoni!Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Mzee,usiombe bila kutoa sadaka kwa nature...sasa chukua asali pure lita moja....tafuta mti mkubwa kaimwage hiyo asali yote kisha rudi nyumbani kafanye maombi kama unavyoombaga...harafu uje ulete mrejesho...!
Sasa unawezaje kusoma b kama p?Hapana mkuu,
Sina hiyo disorder.
Endelea kuomba..Mungu atakujibu wakati atakao, ila hata asipojibu utakavyo ataendelea kubaki Mungu tuHabari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Mkuu,Sasa unawezaje kusoma b kama p?
Umeshawahi kupimwa na wataalam kama una dyslexia?
SIKU IZI WENGI NI WALOKOLE MAMBOLEO (NEO_WALOKOLE)Je umeokoka kweli kweli,maana bila kuokoka hauna uhusiano na Mungu lakini pia mshirikishe roho mtakatifu maana yeye ndie anaejua kutuombea jinsi ipasavyo.