Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Mkuu,
Sina tatizo Kama Hilo nilikua natembea jua la dar es salaam na heka heka za kariakoo sikua kwenye utulivu kabisa.
Wakati mwingine sito rudia kusoma na kuandika kwa haraka haraka Kama ivyoo.
Unajuaje huna tatizo kama hilo? Umepimwa na wataalamu?
 
Hata uombe non-stop mwaka mzima. Bila kuchukua hatua, hakuna utakachofanikisha.

Maisha ni kitu halisi, si fiction.

Chukua hatua kutatua changamoto zako katika uhalisia.

Maombi ni dhana ya hovyo sana.
 
Unajuaje huna tatizo kama hilo? Umepimwa na wataalamu?
Mimi mwenyewe ni mtaalam mwandamizi senior.

Labda Kama limenianza leo hii hili tatizo nijuavyo hii disorder huwa ni kwa watoto Sana Sana kushindwa kutamka,kutofautisha,kuandika na kusoma some of words.
Kwaio unataka kusema limenianzia utotoni 😊 what a joke.
 
Ni tatizo wanalo hata watu wazima. Jiongeze utaalam wako.

Na ni zaidi ya ulivyolisema.
 
Mimi naomba mtu ambae ana sala za romani katoriki na maombi yake basi anitumie hata private
 
Amen
Umemaliza
 
Hii mbinu hata waganga wa kienyeji huitumia ni mbinu nzurii Sana na inatoa majibu ni kua na consistency kwenye maombi na Dua zako bila kusahau kujituma Kuna semi Ina SEMA "Doing the best & God will do the rest"
 
Ofcoz!why are you asking obviously?
Kwa sababu mleta mada kaja hapa ana lalamika amekuwa akisali sana kumuomba huyo Mungu, Amtatulie shida zake, Lakini wapi Holaaaa!!

Mpaka ameamua kuja kwetu sie binadamu wenzake.

Huyo Mungu unayedai anatoa hela na kuwasaidia watu kama yupo, Basi Anatoa na kusaidia kwa upendeleo na uchoyo sana.

Ndio maana mleta mada Bunchari, amekosa huo msaada wa huyo Mungu, Mpaka kufikia hatua ya kuja kwetu sie binadamu wenzake.
 
Tatizo huna utulivu wa moyo wala nafsi,rudia kusoma mada,yeye hajaomba pesa wala msaada kaomba tumwelekeze huwa tunaomba vipi hadi tunajibiwa,na ndivyo waungwana wamemwelekeza na atafanya hivyo,na nina uhakika kwa asilimia 100 Mungu atamjibu...
 
In maana wale waliozaliwa Viwete pamoja na waathirika wa Polio, Vipofu na Mabubu huwa hawaombi au Mungu hajawahitaka kumjibu hata mmoja wao?
 
Tatizo huna utulivu wa moyo wala nafsi,rudia kusoma mada,yeye hajaomba pesa wala msaada kaomba tumwelekeze huwa tunaomba vipi hadi tunajibiwa,na ndivyo waungwana wamemwelekeza na atafanya hivyo,na nina uhakika kwa asilimia 100 Mungu atamjibu...
Una uhakika gani na uthibitisho upi huyo Mungu atamjibu kwa asilimia 100?

Kwa nini uhitaji kumuomba huyo Mungu, Wakati una amini yeye ndiye mwenye Plan za maisha yako tangu kuzaliwa kwako mpaka kufa?

Au plan za huyo Mungu zina dosari na kasoro na zinahitaji marekebisho kupitia sala na maombi yako?
 
Nakuhakikishia atamjibu kwa asilimia 100 coz najua anayo hiyo power...
 
Watu wa Mungu mnajichanganya yani hamueleweki!!
Aisee unapinga kwa hoja kuntu. BIG UP
 
Achana kabisa na twita, insta, telegram na facebook zinadisturb sana 'uwepo', whatsapp nayo sio kabisa labda viber
 
Achana na maombi Rudi Kijijini kwenu kafanye matambiko utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…