-Omba hadi upate majibu
Ukiwa na muda na Mungu, naye atakuwa na muda na wewe. i.e Mpe Mungu quality time, yaani usimpe Mungu muda wa ziada. tenga muda maalumu wa kuongea na Mungu, sio wakati ambao umechoka ndo ukae na Mungu. ikiwa waweza kuwa na muda na rafiki au mume/mke wako kipenzi, si zaidi sana Mungu? jitahidi kuwa na muda mrefu wa kuongea na Mungu/ Muda mrefu wa kuomba. iwe ni mchana au usiku. omba hadi nafsi yako ikushuhudie kuwa kwa hakika nimeongea na Mungu na maombi yangu yamemgusa Mungu
Kuwa na consistency katika maombi.
Kuwa na consistency katika maombi
omba bla kuchoka, na omba kwa target, ikiwezekana uwe na karatasi au mahali ambapo umeorodhesha maombi yako kwa lengo la kufuatilia ombi lipi limeshapata majibu na lipi bado.
usiwe mwombaji wa kulipuka lipuka yaani wiki moja upo moto kimaombi na wiki lingine umezima.