Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

hahaa kwani wewe hujawahi kuliwa papuchi kwa kukopwa"" ?? kama ulishawahi anzisha Uzi tu"" utawapata wakopwaji wenzio na wakopaji""
hahaha ww unaonekana ni mzee wa kukopa za wenzako...
 
Jaman njoo pm nikupe madaa wangu uanze kutiririkaaa

Wengine tunaandika maisha yetu halisi lakini je upo vizur kupangilia mawazooo
 
Nawe huoni umepata mada ya kuanzisha, ndio hivyo hivyo inavyokua.
 
Jaman njoo pm nikupe madaa wangu uanze kutiririkaaa

Wengine tunaandika maisha yetu halisi lakini je upo vizur kupangilia mawazooo
hahahh asante Demiss nitakuja huko pm wanguπŸ™‚
 
Hata mimi huwa najiuliza sana hili swali
 
hahhahah acha kupenda kukopa mkuu, utakopa majiniπŸ˜€πŸ˜€
hiyo itakuwa ni ajali kazini mkuu"" kwahiyo wewe utaogopa kununua Gari "" kwaajili ya kuwa na hofu ya kupata ajali ::???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…