Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Hilo swali uliyouliza ni mada tayari!
 
Back
Top Bottom