- Thread starter
- #21
😛😛😛Si uwe unapost udaku tu sasa..mbona kwa jinsia yako vipo vingi tu vya kupost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😛😛😛Si uwe unapost udaku tu sasa..mbona kwa jinsia yako vipo vingi tu vya kupost
Hasa nikikuoa mimihahaha akinioa ndo nitapata cha kupost, eh?
Au anzisha uzi wa yule jamaa aliyekupiga katerero!hahaha eh bana, afu na hii pia niifanyie kazi
sikua nacho wakati naandika,kimejitokeza tuKivipi hauna cha kuandika wakati tayari umeshaandika?!
hahahah sema usinikumbushe kuhusu katerero.. jamaa itabidi nimtafute tena..lolAu anzisha uzi wa yule jamaa aliyekupiga katerero!
hahah subiri kwanza, sio kwamba ww utasababisha niwe naomba ushauri kila siku humu ndani kweli?🙁Hasa nikikuoa mimi
jaman chige, mbona kama unanishushuaWanatoa wapi mada Kivipi? Kwani mada hii umeitoa wapi?
eti eh.. afadhali umenielewesha kua wakuu kabla hawajakua walikua na mada za hivi hivi..🙂Ukikua mkuu itaacha kuja na nyuzi km hizi
hahah huyo ndio mtoa mada mkuu?Muombe GENTAMYCINE akupe siri ya huo ujuzi
Basi wewe ni "genius" sema tu hujiamini!sikua nacho wakati naandika,kimejitokeza tu
Ndio ndio[emoji23] [emoji23]Mfano siku zake zimewahi huku mwez au zimechelewa!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha mzee wa fursaa..kwemaa?Inatakiwa utafute mwana chit chat akuoe
Hilo swali uliyouliza ni mada tayari!habari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Kwema issue vp mzeeHahaha mzee wa fursaa..kwemaa?
Fresh mzee naona unataka kuivuta fursa..mshtue iceman 3dKwema issue vp mzee
Uyo jamaa atakuja kunichukulia ndege wanguFresh mzee naona unataka kuivuta fursa..mshtue iceman 3d