Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

Kwanza usome chuo ambacho kipo karibu na home, kama mkoani uwe unakaa kwa mtu bila kulipa kodi,

Pili boom lako lisihusike na kulipa ada, yaani uwe full funded na heslb

Tatu, usiendekeze kula cafe, uwe na ratiba ngumu ya msosi, na msosi wa usiku ni lazima uwe unakula home.

Usiwe na majukumu kama kumzalisha mtoto wa mtu, kiufupi punguza mapenzi chuoni, hata kama unamchumba, asiwe sehemu ya kukuumiza sana kukutobia.

Commitment muhimu, inahitaji, uvumulivu, ujasiri na maamuzi magumu.

Acha kukopesha, acha kusafiri mara kwa mara, sahau kupenda technolojia, kama simu za bei, laptop, n.k

Kama kuna biashara umeielewa fanya, ila sio zile za kuuza peni, dagaa na karanga chuo utajisumbua. Me nilikuwa type writer wa assignment za watu kwa siku hukosi 10k na kuendelea.

Piga msuri usidisco ili uendelee kumake pesa zikija.

Hivi ndivyo nilivyofanya na kujikuta namaliza chuo na mtaji japo sio nyingi ila inatosha kuanza maisha.
Hongera mkuu big point sana nawafunza na madogo zangu sema kama hawanielewi
 
Wanafunzi wengine wanatoka familia duni sana lakini wana akili ya kujitambua. Nilikutana na Binti hapo UDSM miaka hiyo 1990s, katika boom anakwenda kununua nguo za mitumba ili kusomesha wadogo zake na wo

Ni akili za kutambua majukumu na wajibu kwa wanafamilia.
Ni kweli bila kujitambua mapema hutoboi mimi zinakuja kukaa sawa kama nishachelewa japo sio sana
 
Ndio. Ila kwenye kusema kutumia Boom kila kitu asee ni ndogo sanaa hutoboi
Sijui kwa wanaoishi hostel, mimi nilikuwa nakaa off campas nikipata natenga lak1 ya msosi tulikuwa tukikaa wawili msosi wa lk2 tunaweza kumaliza semester nzima kipindi hicho tunapokea lk5
 
Yaani UTOBOE kwa malipo ya Tsh 600,000 kila baada ya miezi 2?

Malipo ambayo unatakuwa KULA, STATIONERY na kulipa ADA???

Au unamaanisha nini maana ya KUTOBOA??
 
Ili utoboe unahitaji shngapi mkuu!

Kwa nilivyomuona huyu classmate ni kama ametoboa japo sio vya kuita vyombo vya habari ila atleast

......biashara imesimama sijui capital ni shngapi ila i guess walau 30mil

......kahamia kwake na kijumba cha msauz

.....kausafiri kwa kwenda na kurud kazn

.....dogo anaenda Ems (japo sijui kama yupo na sponsa ila anasema anasomesha mwenyewe)
 
Huyo ana SOURCE nyingine siyo BOOM.

Ingekuwa rahis hivyo, basi kila mfanyakazai wa serikali ambao wana hakika ya kupata Laki 5 kila mwezi wangekuwa wote wametoboa.
 
Ni mfanyabiashara ni miaka saba sasa toka tumalize chuo means alibana boom na kuanzisha biashara ambayo imemfikisha hapo nampa 50% kuwa ni kweli vingine sijui

But, kwa hoja ya wafanyakazi hawana muda wa kutosha wa kuendeleza mitaji wanayopata kazin
 
Boom halikusaidii kufanya biashara.

Labda UMACHINGA.

Biashara inataka MTAJI, tena siyo milioni 2.
 
Kwanza usome chuo ambacho kipo karibu na home, kama mkoani uwe unakaa kwa mtu bila kulipa kodi,

Pili boom lako lisihusike na kulipa ada, yaani uwe full funded na heslb

Tatu, usiendekeze kula cafe, uwe na ratiba ngumu ya msosi, na msosi wa usiku ni lazima uwe unakula home.

Usiwe na majukumu kama kumzalisha mtoto wa mtu, kiufupi punguza mapenzi chuoni, hata kama unamchumba, asiwe sehemu ya kukuumiza sana kukutobia.

Commitment muhimu, inahitaji, uvumulivu, ujasiri na maamuzi magumu.

Acha kukopesha, acha kusafiri mara kwa mara, sahau kupenda technolojia, kama simu za bei, laptop, n.k

Kama kuna biashara umeielewa fanya, ila sio zile za kuuza peni, dagaa na karanga chuo utajisumbua. Me nilikuwa type writer wa assignment za watu kwa siku hukosi 10k na kuendelea.

Piga msuri usidisco ili uendelee kumake pesa zikija.

Hivi ndivyo nilivyofanya na kujikuta namaliza chuo na mtaji japo sio nyingi ila inatosha kuanza maisha.
Ukiwa mkoani, hapo sawa, inawezekana kabsa.

Ila DSM Uongo, tena ukute haupo full funded na HESLB utashangaa pesa yote inatumika kulipa ada na matumizi madogo dogo
 
Hela ya Boom iliisha kwa kula na kuvaa, stationery kwa mbaali. Nilihonga 20,000 kwa CR kila Boom ili awe ananikumbusha kukusanya assignment na siku za test zikikaribia maana muda mwingi nilikuwa kwenye kazi yangu ya udalali wa magari na viwanja.

Baada ya chuo nikawa senior dalali wa bidhaa mbalimbali huko Tunduma na kupotelea Botswana
 
Alikuwa anakula mchumba tu but sjutii hata alikuwa mchuchu wa maana😋
 
Back
Top Bottom