Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Usijibane ukiwa chuo kwa kutegemea pesa ya boom, live to the fullest kijana.
Jaribu kua mtu wa kuface majanga jinsi yanavyokuja, na sio kujipanga katika namna isiyofaa ikiwemo hiyo ya kutafuta vidonda vya tumbo kwa kusave pesa ya boom.