Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Tatizo sio umasikini, tatizo kuu sisi waafrika moja akichomoka wengine waliobaki huazisha vita kumpinga na kuhakikisha anafeli, husda na roho mbaya nimuendeleza wao wengine mpaka wanaenda kwa mganga wa kienyeji wakuroge.Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda
Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana
Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufulu, mabint wote wamezalia nyumbani hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa.
Wewe ndio umebahatika kupata vijihela lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale ile circle ya umaskini haivunjiki.
Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umaskini
Mkuu huwezi kuanzisha ukoo peke yako lazima ndugu ni muhimu, japo wengi hawana msaada, kuunganisha undugu ni kazi ngumu katika familia za kiafrika.Anzisha ukoo wako. Yaani jihesabu wewe na mke wako kama ndio unaanza ukoo mpya, usijiassociate na mambo ya kiukoo yasiyo na maana.
Tengeneza value na system yako mpya warithishe na watoto
NakaziaWewe tengeneza familia yako kibepari
Mkuu hiyo ni roho mbaya siku utapopata matatizo ndo utajua umuhimu wa extended family.Ishi Maisha yako wengine wametomba katika Gundu mfano Mimi Jamaa yangu mmoja ametomba wanawake wachafu mpaka leo kapewa gundu Hana future kila kitu kwako kizito
Umasikini ndugu yake ni Uzinzi so usisaidie Mtu tofauti na wazazi tu
Nicious circleNyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale ile circle ya umasikini haivunjiki.
- Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda
- Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana
- Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufulu, mabint wote wamezalia nyumbani hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?
Unaweka 4WD Unatembea Unaacha MapokeoAnzisha ukoo wako. Yaani jihesabu wewe na mke wako kama ndio unaanza ukoo mpya, usijiassociate na mambo ya kiukoo yasiyo na maana.
Tengeneza value na system yako mpya warithishe na watoto
Hayo mambo yametokea mbali mnooo mkuu. Hizo familia zinatoka kwenye jamii zinazoitwa 'Advanced marginalized communities'Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale ile circle ya umasikini haivunjiki.
- Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda
- Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana
- Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufulu, mabint wote wamezalia nyumbani hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?
View attachment 2493306
Picha kutoka maktaba
Jifanye kauzuWengine wamefanyaje?
Hizi familia za Aina hizi huwa haziungani wala hazisapotianiMkuu huwezi kuanzisha ukoo peke yako lazima ndgu ni muhimu, japo wengi hawana msaada, kuunganisha undugu ni kazi ngumu katika familia za kiafrica.