Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
  • Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
  • Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
  • Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela, lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale; ile circle ya umasikini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?

Umasikini.jpg

Picha kutoka maktaba
 
Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda

Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana

Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufulu, mabint wote wamezalia nyumbani hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.

Nyumba ukiingia tu inanuka njaa.

Wewe ndio umebahatika kupata vijihela lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale ile circle ya umaskini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umaskini
Tatizo sio umasikini, tatizo kuu sisi waafrika moja akichomoka wengine waliobaki huazisha vita kumpinga na kuhakikisha anafeli, husda na roho mbaya nimuendeleza wao wengine mpaka wanaenda kwa mganga wa kienyeji wakuroge.

Ukipata shida wanafurahia, omba sana Mungu usije kuzaliwa na ndugu wajinga wenye umasikini wa akili....... tatizo sio umasikini wa kipato huo ni suala la muda unaisha ukiwa na ndugu waaminifu, wenye upendo, watiifu wenye busara na heshima.
 
Anzisha ukoo wako. Yaani jihesabu wewe na mke wako kama ndio unaanza ukoo mpya, usijiassociate na mambo ya kiukoo yasiyo na maana.

Tengeneza value na system yako mpya warithishe na watoto
Mkuu huwezi kuanzisha ukoo peke yako lazima ndugu ni muhimu, japo wengi hawana msaada, kuunganisha undugu ni kazi ngumu katika familia za kiafrika.
 
Ishi Maisha yako wengine wapo katika Gundu mfano Mimi Jamaa yangu mmoja amekuwa na wanawake wachafu mpaka leo kapewa gundu Hana future kila kitu kwako kizito

Umasikini ndugu yake ni Uzinzi so usisaidie Mtu tofauti na wazazi tu
 
Ishi Maisha yako wengine wametomba katika Gundu mfano Mimi Jamaa yangu mmoja ametomba wanawake wachafu mpaka leo kapewa gundu Hana future kila kitu kwako kizito

Umasikini ndugu yake ni Uzinzi so usisaidie Mtu tofauti na wazazi tu
Mkuu hiyo ni roho mbaya siku utapopata matatizo ndo utajua umuhimu wa extended family.
 
N
  • Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda
  • Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana
  • Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufulu, mabint wote wamezalia nyumbani hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale ile circle ya umasikini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?
Nicious circle
 
View attachment 2493306
Picha kutoka maktaba
Hayo mambo yametokea mbali mnooo mkuu. Hizo familia zinatoka kwenye jamii zinazoitwa 'Advanced marginalized communities'
 
Hiyo ipo, binafsi nimeshawahi kushuhudia Familia fulani. Lakini kwa upande mwingine malezi ya aina moja pia hutengeneza kizazi chenye Hali za Maisha zinazofanana. Kuna invisible line ambapo Hakuna mwanafamilia atapita. Wote wanazunguka ndani ya mduara mmoja
 
Back
Top Bottom